Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Ngoja nifikirie kwanza nimpe Mungu kazi ya kuchambua mafaili yetu lako na langu [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hewalaaaaa[emoji122] [emoji122]
Jambo zur sana

Ila mafaili yetu hayatakosa
makosa msingi
Tuangalie kesho yetu ya jana
Yanabak kuwa ya jana
 
Kupika chaiii!
Jifunze kupika mapeemaa! Chai kila mtu ana pika.

Ntakutafuta jamaa yangu flan hivi akufundishe asee
Haki nitafurahi kumpata huyo mwl.wa mapishi maana naaibikaga mwenzio pale ninapoweka sukari na ndimu kwenye wali huku nikiunga nazi kwenye supu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…