Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Nahuyo uliyenaye unampeleka wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8]
Walaaaaah kama nafac ipo
Niambie tu nsichelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahuyo uliyenaye unampeleka wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8]
Walaaaaah kama nafac ipo
Niambie tu nsichelewe
Dhuuuuu can you imagineNahuyo uliyenaye unampeleka wapi?
Pole sana omba Mungu utampata mwenyewe kabisa ulipangiwa na MunguDhuuuuu can you imagine
Ungejua tu nliopitia hapa
Katka ungenipa tu Pole
But n life on relationship
Huenda ww ukawa ndo mbarikiwa
wang
Ngoja nifikirie kwanza nimpe Mungu kazi ya kuchambua mafaili yetu lako na langu [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hewalaaaaa[emoji122] [emoji122]Ngoja nifikirie kwanza nimpe Mungu kazi ya kuchambua mafaili yetu lako na langu [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ww ndiye mwanamke nilie kuwa namtafuta kuoa mungu asante kwa kunijibuMm mwenyewe cjui kupika,nikiona vitunguu tu nackia kulia
Hahaha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tusubiriHewalaaaaa[emoji122] [emoji122]
Jambo zur sana
Ila mafaili yetu hayatakosa
makosa msingi
Tuangalie kesho yetu ya jana
Yanabak kuwa ya jana
Mpaka chupi wanafuliwaWapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Hee hee haya taratibu tuHahaha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tusubiri
Ndiyo mwendo mpaka anafika[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hee hee haya taratibu tu
Kama kinyonga
Eeeh na akifka anafka Kwa bashashaNdiyo mwendo mpaka anafika[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Malaika wa amani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeeh na akifka anafka Kwa bashasha
cjui ndo anakua amesindikizwa na
Malaika cjui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Malaika wa amani [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amina kubwa, usiku mwema[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na akuja na upako wenye
Baraka za baba kutoka juu
Sio tu mpango bali nimeshaanza jitihada za kujifuza kupika.....siku hizi najua kupika chai[emoji85] [emoji85] [emoji85]Huna mpango Wa kujua kupika zaidi ya hizo excuse?
What kinda nonsense is this!Sio tu mpango bali nimeshaanza jitihada za kujifuza kupika.....siku hizi najua kupika chai[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nonsense!? Hivi kweli hujaona jitihada zangu katika hili? [emoji18] [emoji18] [emoji18]What kinda nonsense is this!
[emoji23]
Kupika chaiii!Nonsense!? Hivi kweli hujaona jitihada zangu katika hili? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Haki nitafurahi kumpata huyo mwl.wa mapishi maana naaibikaga mwenzio pale ninapoweka sukari na ndimu kwenye wali huku nikiunga nazi kwenye supu [emoji85] [emoji85] [emoji85]Kupika chaiii!
Jifunze kupika mapeemaa! Chai kila mtu ana pika.
Ntakutafuta jamaa yangu flan hivi akufundishe asee