Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari zenu waungwana.
Katika pita pita zangu nikajikuta nimepata hilo swali hivi kuna wanawake ambao hawajui kupika
Hivi ni kweli hicho kitu kipo?
Na Kama kipo huyo mwanamke ameishi sayari gani ambayo ameshindwa kujua kupika?
Au kuna excuse zipo ambazo zinamfanya asijue kupika?
Na kwa mwanamke mwenyewe anajichukulia vipi kwa hali hiyo?
Waungwana hebu nisaidieni hapo kuniweka sawa.