Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari zenu waungwana.


Katika pita pita zangu nikajikuta nimepata hilo swali hivi kuna wanawake ambao hawajui kupika

Hivi ni kweli hicho kitu kipo?


Na Kama kipo huyo mwanamke ameishi sayari gani ambayo ameshindwa kujua kupika?





Au kuna excuse zipo ambazo zinamfanya asijue kupika?


Na kwa mwanamke mwenyewe anajichukulia vipi kwa hali hiyo?





Waungwana hebu nisaidieni hapo kuniweka sawa.
 
Wapo wanawake wengi hasa hasa wanaofanya kazi maofisini hawajui kupika na ndio maana wengi wao ndoa zao hazidumu!! Hawajui kuwa THE WAY TO A MAN'S HEART IS THROUGH HIS STOMACH" Eti kila siku kazi yao kuwaletea waume zao TAKE AWAY!!!
 
Back
Top Bottom