Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

Hivi kuna mwanamke tajiri anayemiliki pesa nyingi duniani kuzidi matajiri wa kiume?

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
 
Ngoja forbes wataleta orodha ya wanawake matajiri wenyewe kwa wenyewe. Ila mwanamke tajiri zaidi kupita hata wanaume akina gGates na Musk bado hajatokea, akitokea tutajulishwa
 
Back
Top Bottom