Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 915 Reaction score 1,082 Feb 21, 2023 #1 Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
Naomba kufahamu maana kila siku naona list za wanaume tu. Sasa mbona wanapambana sana, hela zao wanawekeza wapi?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Feb 21, 2023 #2 Ngoja forbes wataleta orodha ya wanawake matajiri wenyewe kwa wenyewe. Ila mwanamke tajiri zaidi kupita hata wanaume akina gGates na Musk bado hajatokea, akitokea tutajulishwa
Ngoja forbes wataleta orodha ya wanawake matajiri wenyewe kwa wenyewe. Ila mwanamke tajiri zaidi kupita hata wanaume akina gGates na Musk bado hajatokea, akitokea tutajulishwa
N ngakotecture JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 2,569 Reaction score 2,847 Feb 21, 2023 #3 halitotokea ilo mpaka dunia inaisha wanaume ni mfumo wanaume ndo huwawezesha wanawake.