Hivi kuna Mwanaume yoyote hapa nchini Tanzania ambaye huwa ' hadanganyi ' kabisa pale akiwa ' anamtongoza ' Mwanamke?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nadhani kama Siku ya Hukumuy Kwake Mungu Sebuleni Kwake Mbinguni Wanaume wote tutahukumiwa na hii Dhambi ya Kudanganya / Kuongopa. Huwa nikikaa Mwenyewe na Kujitafakari kwa aina ya Uwongo ambao nimekuwa nikiwadanganya na bado naendelea Kuwadanganya Wanawake ili tu ' niwabandue ' najiona kabisa kuwa Siku yangu ya Hukumu naweza Kuchomwa Moto hata mara Milioni kwa jinsi ambayo Baba Mola / Maulana atakavyokuwa na Hasira na Mimi.

Naomba kama kuna Mwanaume ambaye hajawahi Kuongopa / Kudanganya ili aipate ' Mbunye ' ajitokeze hapa nimpe Zawadi.
 
Ata wao mkuu wanatudanganya sana

Ila nahisi Sisi ndiyo tumezidi Mkuu kwani kuna muda huwa nikikumbuka Uwongo ambao huwa nawapa Wanawake kama ningehamishia katika Mambo ya Kimaendeleo basi huenda leo hii GENTAMYCINE ningekuwa nakimbizana Kiutajiri na Matajiri Wakubwa wa Afrika kama Aliko Dangote ( Nigeria ) Kaizer Motaung na Patrice Motsepe ( Afrika Kusini ) na Moise Chapwe Katumbi ( Congo DR ) lakini imekuwa ni Kinyume na nimebaki na Ukapuku na Upopoma wangu pekee tu ulionitukuka.
 
haha noma kwel
 
Hahaha..

Nipo kuhesabu comments za wanaume wasiodanganya
 
Tatizo la wanawake ukiwaambia ukweli(kuwa sina hela mimi kapuku tu) hawaelewi na atakukataa,ila ukiwadanganya ndo wana kuona we mkweli 😂😂😂.....Kuna mmoja aliniambia bora nimdanganye tu maana nikimuambia ukweli ataumia.Kwahyo mkuu inaonekana ni kitu ambacho wao wanapenda ukitaka kuamini jaribu kutongoza mwanamke halafu umwambie ukweli (mfano umwambie sina future na wewe nataka kukuchezea tu) kama utampata.Nalogout🏃🏃
 

Nakubaliana nawe kwa 100% katika hili kwani nina Matukio Mawili ambapo la Kwanza nilikuwa nimependa Dala Dala natoka Morocco kwenda Bunju nikakaa Siti Moja na Mwanamke na kama kawaida yangu ya Kupenda ' Kutongozatongoza ' japo nahii kuna Siku nitatongoza Jini ndipo nitakoma. Wakati wa Mazungumzo yangu nae huku akiwa ananichangamkia kabisa akaniuliza nafanya Kazi gani nami nikamjibu ni Karani tu Ofisini kilichofuata hapo nilimwona ameninunia huku Domo lake ' akilibinjua ' kwa Dharau na hapo hapo akaacha kabisa Mazungumzo nami hadi Bunju mwisho.

Sikukoma Siku kama Tatu ( 3 ) hivi baadae wakati natokea Ubungo Simu 2000 naelekea Msasani nilibahatika tena Kukaa Siti moja na Mwanamke na kama Kawaida yangu nikauendeleza Utamaduni wangu wa ' Kutongozatongoza ' ambapo Safari hii Yule Mwanamke aliponiuliza tu nafanya Kazi gani upesi sana na kwa ' Mikogo ' kabisa nikamwambia kuwa Mimi ni ' Auditor ' ambapo nilimwona akiwa na Furaha kabisa na hapo hapo akanipa namba yake. Nakumbuka ilikuwa ni Saa 9 Alasiri na ilipofika Saa 2 Usiku ' Auditor Popoma ' Mimi nilimpigia Simu na kumwambia aje mahala nilipo ( ambapo ilikuwa ni Loji ) nae wala hakuchelewa akaja kweli ambapo nikaingia nae Chumbani na Kumngono / Kumtindua / Kumfanya na nakumbuka nilipomaliza ' Kumshindilia ' nao ' Mkuyenge ' wangu na Kuuchomoa kunako ' Mbunye ' yake pale pale sikumchelewesha na nikamwambia kuwa Mimi siyo ' Auditor ' wala nini bali ni ' Kapuku ' fulani tu niliyetukuka hivyo nilimdanganya tu na akome kuwa na Tamaa za Kijinga ( Kingumbaru ) na Kuendekeza ' Maslahi ' kutoka kwa Mwanaume / Wanaume.
 
mie huwaga nawaeleza ukweli mtupu ila baada ya kuwapa tu ukweli wananchomolea but nkirud for the second na uongo wanaelekea kibla
 
Kudanganyenyeje labda?. Si unamtongoza tu kawaida?. Nakuhitaji tuwe marafiki hivyo?. Wala sinaga mambo ya chenga. Chenga za nini kama hapo mkuu?.
 
mie huwaga nawaeleza ukweli mtupu ila baada ya kuwapa tu ukweli wananchomolea but nkirud for the second na uongo wanaelekea kibla

Mimi kama dakika 10 hivi zilizopita nimemdanganya kuwa ndiyo nimewasili Usiku huu kutoka Kulinda Amani nchini Sudan na kwamba nimerejea na Kiasi cha kama Tsh Milioni 75 hivi sasa Simu yangu inaelekea Kuisha Chaji kwani ananipigia mno. Najipanga Kutafuta Gheto la ' Mwana / Mshikaji ' ili ' nikambandue ' na nikimaliza ndipo nitamwambia kuwa sijatoka Sudani wala Sudan bali Mimi ni wa hapa hapa na kama Kazi ya Kulinda Amani niliyonayo basi ni hii ya Kulinda tu Sungu Sungu Usiku Kucha ili Vibaka wasiendelee Kutuibia Simu zetu na Suruali zetu tunazozitundika Kupitia Madirishani.
 
Kudanganyenyeje labda?. Si unamtongoza tu kawaida?. Nakuhitaji tuwe marafiki hivyo?. Wala sinaga mambo ya chenga. Chenga za nini kama hapo mkuu?.

Acha Uwongo Wewe hakuna Mwanaume anayemtongoza Mwanamke chini ya Jua hili / Mwezi huu hadanganyi kwa namna moja au nyingine.
 
Sijapata kuona swali la kijinga kama hili la kwenye uzi huu.

Mtu aweze kutongoza ili afanye dhambi kubwa ya uzinifu lakini ashindwe kudanganya?

Ambae hadanganyi hatongozi anapeleka posa tu.
 
Sijapata kuona swali la kijinga kama hili la kwenye uzi huu.

Mtu aweze kutongoza ili afanye dhambi kubwa ya uzinifu lakini ashindwe kudanganya?

Ambae hadanganyi hatongozi anapeleka posa tu.
Bibi bhana, we mwanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…