Hivi kuna nchi nyingine Waziri anafanya hivi, au ni Tanzania tu?

Hivi kuna nchi nyingine Waziri anafanya hivi, au ni Tanzania tu?

Wewe nae ni poyoyo. Wanakwenda washabiki wa mitaani kuongeza nguvu, itakuwa waziri?

Ikiwa upinzani ndiyo huo, Mungu isaidie Tanzania.
Acha ujinga wewe, sasa unafananisha uwepo wa mashabiki na waziri! Huu upuuzi wa kujipangia matwmbezi binafsi kwa kisingizio cha taifa starz. Huyu alitakiwa kwenda uko kwa gharama zake
 
Sasa huyo Hamisi ana ushawishi gani?

Kwanini wasitumie wachezaji wa zamani waliokuwa peak na bado wako hai.

Watu walipambana katika nyakati ngumu kuiweka nchi kwenye ramani ya mpira ila wameenda kuchukua machawa ,wajinga sana.
 
tatizo sio kwenda, tatizo ni kwenda kwa kutumia hela ya Uma, wakiwa nje ya nchi kila siku wanalipwa posho dola elfu kadhaa. hawa jamaa wanatumaliza sana
 
Hivi mtu kama Mwana FA ana ushawishi gani hata aifuate Timu ya Taifa kwa madai ya uongo ya kuongeza nguvu ?

Hii nchi mbona kila mahali ni kutafuta fursa?

View attachment 2863041
Ela za wajinga acha ziliwe tu. Maana hapo inaandikwa safari ya kikazi na analipwa accommodation etc. banana republic hizi. Na hakuna wa kumwambia lolote maana wote wanafanya hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom