Poleni na heka heka za weekend.
Watu wengine watakuwa hoi bin taabani,wengine ndio kwanza kunakucha na safari za kurudi walikotoka baada ya tamasha la leo pa Simba tarehe 6 aug 2023.
Kesho sijui kama kazi zitafanyika ni mwendo wa kusinzia tu maofisini na kuparaza paraza tu mafaili mradi muda uende.
Turudi juu.Swali nauliza kama niko chekechea je kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya kwetu bongo ya hizi timu mbili kubwa ama ni sisi tu bongo.Nazionea huruma hizi timu zingine za ligi yetu sijui zinajionaje.
Zinajiona tudogo sana kama zinasindikiza tu wababe hawa .Hakuna mtu anazingalia maskini zimebaki tu kukodoa macho.Hata govt imezipa kidogo hizi timu tudogo..kuziangalia angalau kwa jicho moja hakuna😟.
Tuendelee..Kifupi naona gharama kubwa sana inatumika pamoja na muda ambao ungeweza kutumika kwa mambo mengine muhimu kwa klabu.
Najua faida inaweza kuwepo lkn duh!"!!!
Anyway nisiongee sana swali ni hilo tu kuwa kama kuna nchi nyingine nazo zina matamasha kama haya hasa afrika najua ulaya hawana haya mambo
wao wako advance sana muda wao mwingi wanatumia kuandaa timu na kusajili tu wachezaji.
Laleni unono.