Hivi kuna nchi nyingine zenye matamasha kama haya ya Yanga na Simba day?

Barcelona wanayo...

Sijajua team nyingine...
 
hata kama ni mali za klabu ila
VAT lazima ulipe
BMT lazima ulipe
Gharama za tiketi lazima ulipie
Gharama za tamasha
Uwanja lazima ulipie
FA mkoa je?
Wale wageni kuwahudumia na kuwasafirisha je?

TFF umesema hawahusiki, je timu ndio inayopanga juu ya waamuzi wa kuchezesha mechi za tamasha au inakuaje?
 
Upuuzi kweli,wenzenu wanawa-distract from major issues halafu ninyi bila kujua mnanasa kwenye mtego jamaa wanafanya vitu vyao.Mnaendekeza tamaa za mwili na macho, wakati mwili mtauacha hapa hapa duniani na ni udongo,instead of caring about the spirit,very sad.See and
listen
to the following clip to learn the evil plans of Satan and how you have been trapped.

 
Mpira wa bongo bado una safari ndefu sana maneno maneno mengi kuliko soka lenyewe
Mpira bongo unasafari ndefu kwenda wapi tena?

Kinachokuumiza wewe ni hulka ya binadamu kutojiona mwili wake mpaka wanaomuangalia ndo wamuone

1. NBCPL ni ligi ya tano kwa ubora afrika nyuma ya egypt, morocco, tunisia na algeria kama sikosei.

2. Simba sc ni klbu ya saba kwa ubora africa.

3. Klab ya simba mwaka huu itaanzia raund ya kwanza CAFCL

4. Kwa kuujua ubora wa mpira wa bongo, CAF wameipa Tz heshima ya kuhost show ya ufunguzi wa CAF AFL

Unataka safari ya kwenda wapi tena?

Au unatamani yanga iwe kama bayern, azam iwe kama liverpool na simba iwe kama madrif?

Au unataka coastal union iwe ya kwanza kwa ubora africa?

Watanzania kwa sasa tunatafuta kitu kimoja tuengine yote tushayapata, sio makombe ya CAF bali klab namba 1 kwa ubira africa
 
Inchi hii ufisadi ungepita mbali tungefika mbali sana kisoka.🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…