Hivi kuna nchi yenye watu Jeuri na kutamba kama Tanzania? Sipati picha iwapo tungekuwa na Uchumi wa hata Dubai tu!

Jumatatu ya tarehe 19/ 06/ 23 kulikuwa na maandamano yameandaliwa kwa wiki zima na Deusdetith Soka, walikwenda watu 5 tu. Mbona hatukukuona ndugu JET SALLI au mnataka kuchochea wenzenu tu?
Yaan unataka nikutaarifu ww kama nani.
 
Yaan unataka nikutaarifu ww kama nani.
Wewe ndo kiherehere wa eti maandamano wakati wazalendo tunazungumzia umoja wa kitaifa na uwekezaji mzuri sana wa hawa jamaa wa DP WORLD? Muulizi Kitenge anajua sana ubora wa hawa jamaa kwa kawatembelea kabisa.
 
Eti mkuu,

Kama mkataba wa DP na Bandari zetu tanganyika una faida kubwa, kwa nini Bandari za Zanzibar hazikuingizwa ili tule wote faida?
 
Ww ndio ukamuulize kitenge kwa sababu mnalingana akili.kama uzalendo ndio huo basi kazi ipo.
 
Eti mkuu,

Kama mkataba wa DP na Bandari zetu tanganyika una faida kubwa, kwa nini Bandari za Zanzibar hazikuingizwa ili tule wote faida?
Kabla ya kukujibu nieleze kwa nini bandari ya Tanga haijahusika wala ile ya Mtwara kwa awamu hii?
Hayo maswali yako ni yale ya akina Lissu, Mwabukusi na machadema wanzao ambao wanadhani kuwa Lissu akiwa Rais lazima atoe maamuzi kuhusu alizeti ya Singida tu na si karafuu ya Pemba. Hili siyo sawa. Hakuna Rais kipande wote wakishaapishwa ni marais kamili wanatoa maamuzi juu ya eneo lolote la Tanzania. Mawazo mgando ya CHADEMA na Tibaijuka fisadi achana nayo.
 
Unadhani hatuwezi kuwa na dawa?

Kwa nini China kunasheria ya kunyonga majizi, unadhani ni kwa nini walijiwekea sheria hiyo?

Huoni kwamba wao huwenda ni wajuvi wa kuiba kuliko Sisi?
Hivi wewe ukituangalia unaona kama tunapenda kubadilika Leo ama kesho

Embu kaa masaa kadhaa angalia vijana wa kitanzania mtaani angalia viongozi wetu bungeni angalia wafanyakazi wa uma halafu uniambia kama huo utayar wa kubadilika upo......mabadiliko ni sacrifice siyo kitu Cha kuamua Leo na kesho umebadilika,ni swala la kizazi kimoja kujitoa kwa nguvu zote

Sasa Hawa vijana wanaobet wanaoongozwa na viongozi wa hivyo ndo uwalinganishe na China
 
Umeandika kwa hisia sana mkuu
 
Bongo, ni sehemu hatari sana mtu kufikia ndoto zako inalazimu mtu uwe mwizi!

Maandamano hubadiri hali za kisiasa pia kiuchumi na huleta kuheshimiana kati ya viongozi na wananchi! Lakini wananchi ni waoga kuliko kuku yaani

Lakini kinachokuwa kinafanyika Tanganyika, ni cha kusikitisha na kukatisha tamaa
Kwa hiyo Kisamv unataka watu wengine ndiyo wawe majasiri ili kuweza kubadili maisha yako wewe
 
Wazanzibar wanasema sisi ndiyo tunawavuta wasisonge mbele, wangekuwa wao Taifa huru basi Zanzibar, Pemba na Mafia ingekuwa kama Dubai - maana vile visiwa ni purely kwa utalii na uwekezaji - Kilimo cha majaruba ni hapa kwetu Tanganyika.
 
Ni kweli nakubaliana nao sasa
 
Wewe mwenyewe muoga, maandamano yako yalikuwa na ndani ya Jukwaa la Siasa tu. Kuandika kuwajaza wengine ujinga
Ulitishiwa na Magufi ukahama nchi, mwanaume uwe wewe?

Acha uboya!
 
Back
Top Bottom