Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

Mimi nielewesheni hapa uhusiano wa ndege na tourism inakuwajekuwaje? Maana kukikosekana faida kichaka kinakuwa tourism why!? Connection ipoje hapo?
 
Mkuu unauliza ishu kubwa namna hiyo?
Uliza Mara ya mwisho tv, redio, magazeti na social media tangu turudi kutoka Chato wametaja jina hili Mara ngapi? Hata kituo pendwa tbccm nao wamesahau hata Ina spelling ngapi
 
Abiria wa Geita
 
Hivi chato kupelekewa maendeleo kunawasha nini eti?au chato sio Tanzania au chato hapastahili kupata maendeleo mbona mnafitina na ushabiki mandazi eti
Hilo liuwanja Lina faida gani kwa nchi na watu wa Chato? Acha mawazo mgando kwani ungekuwa Mwanza Nani angepinga?
 
Tulitahadharisha mapema project ya Chato kuwa ni justification of corruption and embezzlement.

It was a matter of time, a time has come truth of out.

Parliament was muzzled, no one was able even to open his or her lips to question about Chato.

We lost lot money in this hooliganic project.

Samia and Majaliwa should step down for lying us.
 
Mimi nielewesheni hapa uhusiano wa ndege na tourism inakuwajekuwaje?maana kukikosekana faida kichaka kinakuwa tourism why!?connection ipoje hapo?
Mkuu ndege zinazofanya safari za kimataifa, local airlines na ndege ndogo (general aviation) kwa pamoja vinatengeneza mtandao unaowezesha watalii kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hiyo ni faida kwa nchi na watu binafsi waliowekeza kwenye sekta hiyo.
 
Bado sijaelewa, labda kichwa changu kigumu kuelewa, mtalii ataacha kuja Tanzania kwasababu Tanzania haina ndege!? Hapa ndio sijaelewa ndege na utalii vinakutana wapi!? Yaani Chato kuwa na uwanja mkubwa unaoweza kutua dreamliner au dreamliner kwenda Chato kunaisaidia vipi sekta ya utalii!?
 
Mkuu watalii watakao nje wanafanya booking zao kupitia makampuni makubwa ya Utalii mfano TripAdvisor. Hizi kampuni zipo kwenye mitandao ya kimataifa ya utalii inayomwezesha mtalii kupata package yenye vitu kama Hotel, usafiri wa ndege na ground transport. Sasa kama nyie hamna ndege wenzenu Kenya wanazo unadhani booking nyingi zitaenda wapi? Mbona hii haihitaji kichwa laini sana kuelewa. Utamtoaje Mtalii toka Zanzibar kwenda Kia mpaka Seronera? Basi la Esther?
Hayo ya Dreamliner na Chato sijayaandika mimi.
 
Iringa utawaonea aisee kuna mbuga kubwa sana ya Ruaha Ina wanyama wote ambao wapo kwenye group la big five. Ukiacha hiyo kuna mashamba ya chai makubwa ya Brookings na Msitu mkubwa wa kuzalisha mbao na karatasi ambao nadhani unasupply mbao kwa asilimia kubwa Tanzania. Ukiacha hayo pia kuna mashamba ya tumbaku makubwa sana hii ni uchumi wa kutosha sana kuweka airport yenye hadhi pia ni karibu na Dodoma mji mkuu.
 

Mlipofikia kwa sasa hata msipotimiza majukumu yenu ya ndoa mtambebesha lawama JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…