Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

Wapo wengi maana mkoa wa Geita, kigoma, kagera na maeneo ya Shinyanga jirani na Geita kama vile kahama wanategemea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Chato
Umeulizwa wangapi unasema wengi, wengi hawana idadi? Toa idadi
 
umeulizwa wangapi unasema wengi, wengi hawana idadi? toa idadi
Wengi wanaanza na ngapi?
Mwalimu wangu wa vidudu alisema vitu vikianzia viwili niseme vingi.
Wakianzia wawili niseme wengi
 
Ndiyo, nimeona king fisher, eagles, pegeon etc. Wapo kibao
 
Kuna moja ilipeleka mizigo juzi kati
Labda ilipeleka vilago vya Mwendazake baada ya kusafisha Ikulu kumpisha Mkazi mpya baada ya hapo hakuna madege ni Musukuma Bus Service tu mpaka Ufalme uje kuhukumu walio hai na wafu.
 
wengi wanaanza na ngapi?
Mwalimu wangu wa vidudu alisema vitu vikianzia viwili niseme vingi.
Wakianzia wawili niseme wengi
Kwamba hawahesabiki? Wanahesabika, kuna idadi yao kama 10, 100,1000 na kuendelea.
Idadi yao ni wangapi?
 
Umenikumbusha mzee wetu Mwinyi, nimecheka sana! Yule baba alijua kutufurahisha siku ile jamani! Mungu azidi kumpa afya njema
 
Unauliza Chato tu pekee,
Kwani kuna ndege gani imetua uwanja wa ndege Songwe Mbeya
Ndege gani imetua uwanja wa ndege Tanga
Ndege gani imetua uwanja wa ndege Iringa
Ndege gani imetua uwanja wa ndege Katavi
 
Na zile taa za kuongoza magari barabarani, naskia zinaongoza punda tuh,

Na anaanzaje kujenga uwanja mkubwa wa mpira vile na hata team ya kata tuh Chato hawana??

Jamaa alikuwa mdwanzi sana
 
Uliza ATCL wenye ndege
Mkuu mara hii hujui lolote kuhusu mafaida na ma-route ya ATCL?

Masikini "Shujaa wa Afrika" watu wako wanakusaliti hata 40 bado🤣🤣🤣

Anyway nimewauliza ATCL nao wanasema hawajui kama wataenda tena Chato...ila kwa upana wa ule uwanja na urefu wake wananchi wanaweza kuanikia mbaazi kiroho safi
 
"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"

Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?

Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Kwenda kufanya nini? Subiri jinsi majani yataota kwa kasi uwanjani
 
Back
Top Bottom