Hivi kuna ndege imeshatua Chato tangu baada ya mazishi?

Mbona mimi nipo kwenye wilaya ina uwanja wa ndege na inatua siku moja moja kuleta madawa ya hospital mbona hamlalamiki punguzeni unafiki na utundulisu wa kupinga kupinga kila kitu
Mhhh mbona Tundu Lisu aliwahi msifia JK. Au hukumbuki?
 
Ule uwanja ukitumika tena nichinjeni..hivi kuna mtu kule anaweza kupanda ndege
 
Wanatua bundi pale kila siku.
 
Mbona mimi nipo kwenye wilaya ina uwanja wa ndege na inatua siku moja moja kuleta madawa ya hospitali, mbona hamlalamiki punguzeni unafiki na utundulisu wa kupinga kupinga kila kitu
Kuna kambi ya wakimbizi? MSD hii ilete dawa kwa ndege au msaada wa chanjo ya covid 19?
Umedanganya
 

Binadamu Ukifa na Thamani yako Inakufa pia. Hii ni nadharia nyepesi sana tu ya Saikolojia ya Mwanadamu.

Ili uamini angalia baada ya Kesho ( Siku zake 21 ) za Kumuomboleza zikiisha uone kama Watanzania watapoteza muda wao Kumkumbuka

Tena kuna Watu fulani ( kutoka huko huko Serikalini ) wamepanga baada tu ya Kesho watafanya Sherehe ( Party ) ya maana tu.

Nimewauliza kulikoni jibu walilonipa tu ni kwamba Kipindi cha Manyanyaso Kwao Kimeisha na Mama atawabembeleza vizuri.
 
Ndege John wanatua sana pale.
 
Lile pori la Burigi inabidi libadilishwe tena lirudi kuwa Pori Tengefu kama hapo awali maana linatumia bajeti kubwa wakati halaliingiziii taifa hata sh.kumi. Hakuna matalii wa kwenda kwenye hiyo hifadhi ambayo hakuna hata wanyama
 
HATIMAYE ATCL tunaongea lugha moja
 
chato punda na wanyama wa nyumbani na watu baadhi wamejeruhiwa na kuuliwa na imported wanyama toka serengeti hawaendani na ecology wengine wametorokea akagera national park rwanda..its just a matter of time tutayapata ya kweli toka chato
 
Ule uwanja ukitumika tena nichinjeni..hivi kuna mtu kule anaweza kupanda ndege
Uwanja unatumika na ndege ya ATCL hutua uwanja wa Ndege wa Chato siku za Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi

Karibu Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…