Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafurushi ya nguo zilizokua ikulu🤣🤣Mizigo ya mwendazake
Wewe ni mchokozi!!!!"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
We jamaa.... 🤣
Airline industry ni ngumu sana kuandika kwa maneno machache hapa. Ila nikikuambia wanapata hasara kumbuka risk inakwenda kwa majority shareholder. Sisi ATCL ambayo ni 100% Government owned risk itakuja kwa Serikali ambayo itatumia Kodi zetu. Namna nzuri ya kutumia kodi zetu ni kuwekeza kwenye elimu, afya, maji na miundombinu na si kulipia hasara ya ATCL.Sasa tofauti ni nini kwenye wao kuendelea kuwepo? Kwanini bado wanaendelea?
Kama bado zinatua Chato basi Lasislaus Matindi ni mburula. CAG report ya 2019/20 inapswa iwe ndiyo mwogozo wake.Ndege zinatua Chato kama kawaida. Dar-Geita-Mwanza-Dar. Mondays, Thursdays & Fridays
Umeandika kama vile sijaelewa kabisa kama kuna hasara inapatikana, anyway tayaache hayo. Kweli hii ni mada pana sana na ndio maana hata ule mfano wako wa Fastjet haukuwa sahihi kwani ile ni airline ambayo ni LCC. Na pia inatoka nje ya nchi na ni rahisi kwao ku-target kaeneo/ route moja yenye faida bila kujali mengine.Airline industry ni ngumu sana kuandika kwa maneno machache hapa. Ila nikioikuambia wanapata hasara kumbuka risk inakwenda kwa majority shareholder. Sisi ATCL ambayo ni 100% Government owned risk itakuja kwa Serikali ambayo itatumia Kodi zetu. Namna nzuri ya kutumia kodi zetu ni kuwekeza kwenye elimu, afya, maji na miundombinu na si kulipia hasara ya ATCL.
Sio kujengea kaburi ?Nasikia eti Ilipeleka mbao na matofali pamoja na mifuko ya cement kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kimataifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We huna akili kwa taarifa yako kila siku ndege inatua"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Unasema kweli Fast Jet walikatisha safari ya Shinyanga abiria wakawa wanaenda wanapandia Mwanza wanaorudi Shinyanga wanaletwa na basi Lao maalumu toka Mwanza. Ndege inatua na kuchukua au kuleta watu wawili. Hiyo ni biashara au bangi?.Kama ningekuwa CEO wa ATCL kwa kwa kweli nisingekwenda viwanja vifuatavyo;
1. Chato
2. Mpanda/ Katavi
3. Songea
4. Iringa
5. Shinyanga
Ukisikia CAG anasema kwa mahesabu ya 2019/21, ATCL imepata loss ya Tsh 60 Bilion, ujue sababu ni kwenda kwenye viwanja vya peripheral.
FAST JET walioperate kwa faida kwa kwenda Mwanza, Kilimanjaro na Mbeya tu.
Hakuna haja ya kwenda kwenye mikoa kwa ajili ya kuwaridhisha wanasiasa. Huu siyo mwenge wa uhuru, bali ni biashara ambayo lazima izalishe faida
Bongo kuna misemo balaa aseeMwendazake alikuwa na nia njema kwa ndugu/jamaa zake ila Mungu kawa na nia bora zaidi kwa Watz.
Tuamini yupi? Mmoja mara mbili mwingine mara tatu tupe ratiba toka ATCL.Mkuu achana na ushabiki hata huipendi CCM na Chato kwa ujumla kaa kimya.
Ndege si kutua tu bali zinafanya safari yake Chato to Dar kwa wiki mara mbili.
Karibu Chato mkuu
KIA jina kubwa wewe.Je kuna ndege yoyote iliyo Tua KIA, JKIA, MWANZA, tangu kipindi hicho?