Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Kiukweli urasimu ni mkubwa sana. Wanatumia loophole ya watu kutokujua utaratibu wa masuala ya ardhi kutengeneza mazingira ya kuchelewesha huduma ili utoe kitu kidogo.Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Sasa usiombe hicho kipande chako cha Ardhi atokee mjinga mmoja afungue kesi kuwa Ni chake utajuta kuzaliwa, nenda popote kwenye mahakama ya nyumba na Ardhi utakutana na kesi zina miaka 10 mpaka 15 na hazijawahi kutolewa hukumu na wao wanaona Ni poa tuHapo Bado faili halijapotea usubiri mwaka mzima
Hao TAKUKURU wenyewe inabidi waundiwe TAKUKURU yao. Alisikika hayati mmoja akisemaHakuna watu pasua kichwa kama idara ya aridhi,tatizo kuna mikono ya wengi,takukuru sijui wako wapi kuwadhibiti hawa jamaa?,hadi jalada la kuiweka hiyo hati inatakiwa kulipia!!!,huwa nashangaa ati, wakati kwa mjibu wa utafiti,watu wote wakupewa hati serikali inaweza kuingiza mapato mengi sana kwa kukusanya kodi ya aridhi na nchi ikapiga hatua kubwa tu,kimaendeleo.
bongo hii, kunjua mkono uone maajabu, fasta tuWakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Arusha na Dodoma wanaomba kupitia online https://eardhi.lands.go.tz/, ni mfumo mpya roll out kwenye mikoa mingine inaendelea.Wangeweka Online application ili mtu amalize kwenye mtandao kama TRA wanavyofanya.
Wangeweka Online application ili mtu amalize kwenye mtandao kama TRA wanavyofanya.
kuna mfumo wa online umeanza kufanya kazi mikoa ya Dodoma na Arusha, unaitwa E-Ardhi ambapo e-Ardhi inakupa uwezo wa kufuatilia huduma ulizoomba ikiwa ni pamoja na kujua imefikia hatua gani, imekaa Wizarani kwa muda gani, hatua ngapi zimebaki ili kukamilika.Wakose rushwa? Rais Kikwete aliwahi kusema kumaliza rushwa pale ardhi ni kazi.
Watumishi wa umma wasio waaminifu wanaichukia sana biashara ya online, wanatamani watu wajazane maofisini wawaweke ili kutengeneza mianya ya rushwa.
kuna mfumo wa online umeanza kufanya kazi mikoa ya Dodoma na Arusha, unaitwa E-Ardhi ambapo e-Ardhi inakupa uwezo wa kufuatilia huduma ulizoomba ikiwa ni pamoja na kujua imefikia hatua gani, imekaa Wizarani kwa muda gani, hatua ngapi zimebaki ili kukamilika.
yaani hii kitu imenikuta tunduru mwaka wa pili sasa naambiwa file ipo kwa msajili na bagamoyo urasimu wa watu wa ardhi ni mkubwa sana sanaWakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
kiongozi mbona kama unataka kulaza wenzio njaa? hautaki watu waonane? haujui Januari imeshakaribia? ada utalipa wewe? ebhoo!! uwe na huruma kidogo aisee.Wangeweka Online application ili mtu amalize kwenye mtandao kama TRA wanavyofanya.