implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 806
- 926
Kwani we uko aridhi!!kiongozi mbona kama unataka kulaza wenzio njaa? hautaki watu waonane? haujui Januari imeshakaribia? ada utalipa wewe? ebhoo!! uwe na huruma kidogo aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani we uko aridhi!!kiongozi mbona kama unataka kulaza wenzio njaa? hautaki watu waonane? haujui Januari imeshakaribia? ada utalipa wewe? ebhoo!! uwe na huruma kidogo aisee.
Nilinunua nyumba Mwananyamala Wakili Msomi wangu akatayarisha nyaraka za kubadili hati ya umiliki kufika ardhi Kinondoni wakazikataa 🙄.Wakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
Hivi nawezaje kupata hati bila kutoa hongo?,ni utaratibu upi wakufuatwa,maana hizi ni fani mjue,si kila mtu aweza kujua,mfano daktari kutojua mambo ya aridhi si ajabu.Kiukweli urasimu ni mkubwa sana. Wanatumia loophole ya watu kutokujua utaratibu wa masuala ya ardhi kutengeneza mazingira ya kuchelewesha huduma ili utoe kitu kidogo.
NdioWakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
inategemea mkoa kwa mkoa hapa mwanza kama una nyaraka zote hatinunaipata baada ya mwezi mmoja tuWakuu
Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu!
Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
We jamaa Ubarikiwe Sana AseehArusha na Dodoma wanaomba kupitia online https://eardhi.lands.go.tz/, ni mfumo mpya roll out kwenye mikoa mingine inaendelea.
Mbona wananambia invalid registration, number or NInArusha na Dodoma wanaomba kupitia online https://eardhi.lands.go.tz/, ni mfumo mpya roll out kwenye mikoa mingine inaendelea.
😂😂😂😂😂🤣NdiyoHao ni miungu watu
All the best
Watawala wanajua vyanzo vya mapato ni mikopo tuHakuna watu pasua kichwa kama idara ya aridhi,tatizo kuna mikono ya wengi,takukuru sijui wako wapi kuwadhibiti hawa jamaa?,hadi jalada la kuiweka hiyo hati inatakiwa kulipia!!!,huwa nashangaa ati, wakati kwa mjibu wa utafiti,watu wote wakupewa hati serikali inaweza kuingiza mapato mengi sana kwa kukusanya kodi ya aridhi na nchi ikapiga hatua kubwa tu,kimaendeleo.
Sio kwamba kila anayetoa hongo ili apate hati anakuwa hajafata utaratibu. Isipokuwa anatoa ili apate hati haraka.Hivi nawezaje kupata hati bila kutoa hongo?,ni utaratibu upi wakufuatwa,maana hizi ni fani mjue,si kila mtu aweza kujua,mfano daktari kutojua mambo ya aridhi si ajabu.
Hiki ndio chanzo Cha tatizo!Sio kwamba kila anayetoa hongo ili apate hati anakuwa hajafata utaratibu. Isipokuwa anatoa ili apate hati haraka.
Utaratibu wakupata hati ni huu
- Kiwanja kiwe kwenye ramani ya mipango miji ( Town Planning Drawing)
- Kiwanja kiwe kimepimwa (Survey Plan)
- Uwe na mkataba wa mauziano
- Kuna form namba 92 inabidi ijazwe pia na majirani wote unaopakana nao wasaini
- Then mwanasheria atasaini baadhi docs.
- Ukishakuwa na hizi document zote unazipeleka halmashauri kwa ajili ya mchakato wa kupata hati.
- Kuna bills utapewa na halmashauri. Note: Hizi bills zinategemea na ukubwa wa kiwanja na pia matumizi ya kiwanja.
😃😃 No ndani ya wiki moja/mbili unaweza kuwa umekamilisha kupata hizo documents zote.Hiki ndio chanzo Cha tatizo!
Kukamilisha huu mzunguko utahitaji miaka mitatu!
GoodSio kwamba kila anayetoa hongo ili apate hati anakuwa hajafata utaratibu. Isipokuwa anatoa ili apate hati haraka.
Utaratibu wakupata hati ni huu
- Kiwanja kiwe kwenye ramani ya mipango miji ( Town Planning Drawing)
- Kiwanja kiwe kimepimwa (Survey Plan)
- Uwe na mkataba wa mauziano
- Kuna form namba 92 inabidi ijazwe pia na majirani wote unaopakana nao wasaini
- Then mwanasheria atasaini baadhi docs.
- Ukishakuwa na hizi document zote unazipeleka halmashauri kwa ajili ya mchakato wa kupata hati.
- Kuna bills utapewa na halmashauri. Note: Hizi bills zinategemea na ukubwa wa kiwanja na pia matumizi ya kiwanja.
Huku Dodoma tumefanya vyote hivyo ila unaambiwa mpk mtu wa ardhi aje akague tena..sijui wanakagua nini..maana tumeshajenga na kukaa..mchakato wote hapo juu tulipitia.. mm nilikua najiandaa kupata hati nashangaa tena wanasema mpk mtu aje akague..sasa akague nini wkt surveyor alishakagua b4 bulding permit..Sio kwamba kila anayetoa hongo ili apate hati anakuwa hajafata utaratibu. Isipokuwa anatoa ili apate hati haraka.