Hivi kuna shahawa za wanaume zinazokondesha na nyingine kunenepesha wanawake?

Hivi kuna shahawa za wanaume zinazokondesha na nyingine kunenepesha wanawake?

Cobra70

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
248
Reaction score
550
Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya.

Je, kuna ukweli hapo?
 
Ukweli hupo ila namshauri adate na mngoni kutoa gundu hilo
 
Ndiyo

Kuna rafiki yangu alikuwa na bwana ake mmoja alikuwa na shahawa za namna hiyo..akidinyana nae hizo hips na tako zinavyoumuka balaa.
Ohooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom