ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,512
- 3,764
Whiskey-Tango-Foxtrot !Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya.
Je, kuna ukweli hapo?