Whiskey-Tango-Foxtrot !Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya.
Je, kuna ukweli hapo?
πmbarikiwetehe,,,,tehe,,,tehe,,,tehe,,,,wengine maasha boko ndo maradhi yetu nyinyi,,,tehe.
ππAhsanteeNikumwagie uwe kimbaumbau
Hapana my wangu π€£π€£
ππππWe Ledada wewe..!! Nimecheka kwa sauti...
SiweziUmeamua kuniharibia usiku naona.
Basi, tutakaa kamati tukijue kiwango kinacho faa.Hakuna tatizo kabisa babu,ntatumia kwa kiasi
Hii code imekaa kiarusha!Kwema ankoo, za kwako?
Maparachichi yameiva?
Nilishasikia kuhusu hilo pia
Hizo za kukondesha kwa sisi maasha boko zinafaa sana
Madada manene yalokuwa na irregular shapesπππππ maasha boko ndiyo nini?
Njoo unipee'Nimeona neno shahawa ghafla nyege zimeanza
Kuhusu kunenepesha ama kukondesha sijui
Madada manene yalokuwa na irregular shapes
Duh........!!!!!!Nimeona neno shahawa ghafla nyege zimeanza
Kuhusu kunenepesha ama kukondesha sijui
Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya.
Je, kuna ukweli hapo?
Wangoni ndio tupo kupokea shahawa chafu? Hebu kuwa na heshima na staha kwa makabila ya watu. MsiieeeeeeeewUkweli hupo ila namshauri adate na mngoni kutoa gundu hilo