Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
WACHACHE SANA AMBAO WAMEKUELEWALife is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.
Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.
Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.
Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.
Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake wLiopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoylteza uwezo wa kuona tena?
Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.
Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.
Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?
Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.
Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.
Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.
Cc: Pasco Manyerere Jackton
Mkuu Matola, nimeguswa ila kwenye marketing strategy, kuna mtindo wa ku capitalize on any publicity opportunity, jamaa ametobolewa macho, amepata public sympathy hivyo wacapitalize wa publicity wanapitia hapo hapo!.Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.
Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.
Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.
Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.
Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake wLiopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoylteza uwezo wa kuona tena?
Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.
Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.
Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?
Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.
Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.
Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.
Cc: Pasco Manyerere Jackton
Kwayo unataka kutuaminisha makonda na GSM ana vina saba yake pale si ndio???Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.
Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.
Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.
Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.
Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake wLiopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoylteza uwezo wa kuona tena?
Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.
Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.
Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?
Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.
Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.
Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.
Cc: Pasco Manyerere Jackton
Sio mazombi mkuu sisi ni vichaa!!Matola Hahahaha watu wanatumia loop holes
Wanapiga ela
Taifa likishakuwa na mazombi wengi ndivyo linavyo kuwa
...pia hawa wangelikuwa waandishi kweli wangetusaidia kujua otofauti wa HSC na diskaunti senta au silenti rodi na GSM ili kujua kesho na keshokutwa yatakuwa yanaitwa majina gani!Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?
Mkuu huo mtandao ni mkubwa na uko speed kuliko 4GMkuu Matola, nimeguswa ila kwenye marketing strategy, kuna mtindo wa ku capitalize on any publicity opportunity, jamaa ametobolewa macho, amepata public sympathy hivyo wacapitalize wa publicity wanapitia hapo hapo!.
Ninayo taarifa ya connection kati ya hii GSM, Msoga na wale Waarabu, kitu ambacho sijaweza ku connect ni mambo mema makubwa wanayofanya kwa mamilioni ya fedha za kusaidia karibu kila kitu, kwanza hayo mamilioni yanatoka wapi and what for?!.
I fear the Greeks especially when they bring gifts!.
Pasco
Sio mazombi mkuu sisi ni vichaa!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Bora kichaa
Ninyi ni walking dead
There is something fishing going on. Please Mr Makonda give us your opinion.Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia alikuwepo.
Diamond kama msanii amejikuna amemchangia yule cash millioni 2, lakini kilichonifanya niandike thread hii akaibuka Makonda na ahadi kwamba GSM watamnunulia nyumba huyu muhanga, atapewa bajaj 2 na bodaboda juu.
Hapa ndipo halmashauri yangu ya ubongo imeanza kugoma kuelewa kinachoendelea.
Numero uno; Ieleweke wazi mimi sipingi bwana huyu kupewa msaada lakini nikianza kuconnect dots ndio najiuliuza kunani Makonda na GSM.
Jengo la Bakwata ni GSM ndio watajenga mshenga kwa GSM ni Makonda.
Nyumba ya Muhanga itanunuliwa na GSM mshenga Makonda huyuhuyu, je Makonda anafahamu kuna watu mkoani kwake wLiopata majanga makubwa kuliko huyo aliyepoylteza uwezo wa kuona tena?
Kama kweli kuna wasamalia wema tuwaoneshe na wahitaji wengine kuliko mtu mmoja tu kuonekana ndio kama mgonjwa au muhanga wa Taifa.
Wapo wengi sana wanaohitaji faraja na kufutwa machozi.
Mwisho nawalaumu sana waandishi wetu wa investigation news kwa kutofuatilia kwa kina tukio hili ili umma ujuwe sababu halisi za scorpion kufanya ukatili huu kilikuwa ni kitendo cha kihalifu tu au revenge?
Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.
Chonde chonde wanahabari wetu bahasha zitawauwa tafuteni mashirika ya kuwafadhili muandike kalamu zenu mukiwa huru.
Bado akili yangu inagoma tukio hili kuamini kama ni la kihalifu tu ati mkabaji hapana tunahitaji kujuwa ukweli.
Cc: Pasco Manyerere Jackton
Naanza kuunganisha dots.gsm wamempa mke wa makonda gari
Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?