Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Kweli kabisaa
Matola unashangaa na gsm tu jamaa kawashika matajiri wote wa mjini juzi hapa kamleta mama samai kufungua jiwe la msingi la wodi ya kpumni ya amsons group(camel oil) huyu dogo balaa ila naamini magufuli anamuangalia kwa ukaribu maana hatujui in return kuna nn
 
Makonda ni afisa masoko wa GSM na anapewa anachohitaji na tukio hilo na jamaa kutobolewa macho limekuwa ni moja ya fursa ya kibiashara kwa GSM na kuwaongezea umaarufu Makonda na Diamond..Inaitwa kufa kufaana
 
Huu msaada mbona kama unataka kumziba mtu mdomo,
Sijui kama ni Said au ni wananchi?
Natamani nijue chanzo cha kutobolewa macho na scop [emoji16] [emoji16].
Kwa yeyote anayejua pls help nielewe.
 
Hivi na ule ukarabati wa ofisi yake hawakuufanya hawa jamaa??
Mi mwenyewe na darasa langu la tatu huwa napata tabu sana na muunganiko huu wa hawa jamaa...
GSM & MAKONDA Co.Ltd
 
Back
Top Bottom