Cheki akili yako ilivyo ndogo.....,Wivuuu unzpozidiii
Kweli ' Hapo ndipo halmashauri ya ubongo inapogongana na kupishana' why Makonda tupatie jibu GSM ni jamaa shirika kampuni NGO au ???????Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa studio za clouds, na ndugu Diamonds platnumz pia
Kuna watu kwa ubaya waliowatendea wenzao ukija kuupata ukweli unaweza kuona hata mtu aliyemtoboa macho mwenzake bado ni adhabu ndogo.
Cc: Pasco Manyerere Jackton
mi narudia kila mstari mpaka ntaelewaWACHACHE SANA AMBAO WAMEKUELEWA
Exactlyila mkuu kama ulivyo sema wangefatilia wangegundua mengi pengine aliyepofuliwa macho kaingilia biashara au mambo ya watu na pengine kaharibu mambo makubwa lakini kutokana na mtu kuchukua sheria mikononi akaonekana...amefanyiwa makosa...ila kwakweli mimi mtu akitembea na mke wangu lazima nimtoboe macho ili nione jinsi atakavyotajirika.
Nilipotea mwanza ila mwishoni nilipotulia nikaelewaWACHACHE SANA AMBAO WAMEKUELEWA
no nkipal wife wake kabisaNani kajala?
Ukuu wa mkoa wa Katavi unanukia!Ndugu yang umesahau kusema na ile pickup ya atakayopewa mwenye kiti wa mtaa utakao kuwa safi mana naskia moderator wa iyo zawad na GSM Ila Makonda mpambe tu,anyway hii muvi ya GSM na MAKONDA nadhan msoga anahusika zaid na ndio mana naskia lkn kuwa msoga alitia influence ya kutosha kw Ngosha ili MAKONDA apewe mkoa wake....tunaokaa na MAKONDA karibu tunajua hali halisi