Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Mungu ampiganie Makonda?

Well, Mungu atampigania Osama pia, Alshabab wote, Boko haram pamoja na magaidi na majambazi wote waliowahi kuishi.

Njaa yako imehamia kichwani kaka Pascal.
 
Hapo zamani za kale......enheee!
 
Mungu ampiganie Makonda?

Well, Mungu atampigania Osama pia, Alshabab wote, Boko haram pamoja na magaidi na majambazi wote waliowahi kuishi.

Njaa yako imehamia kichwani kaka Pascal.
Hata wahalifu wana stahili kutendewa haki!.
P
 
Gharib mohamed bilal ndo nani we sukuma gang Pascal Mayalla ?
 
Fact.....kuna container za samani waziri wa fedha alikomaa zilipe Kodi.... wakati mwenye Dar akitaka zipite bure eti msaada kwa walimu na shule, unakumbuka?..... G*S*M nahisi alikuwa anatafuta upenyo.....
 
You are talking shit man! Unajua maana ya mpakwa mafuta wa bwana wewe?
 
Mkuu Mgagaa na Upwa , kwanza japo mimi ni Msukuma, lakini sio Sukuma Gang!.
Pili mimi huyo mtu simjui!.
P
Huyo alieandika andiko unaloliunga mkono ni wa mchongo na amekurupuka,GSM aitwi gharib mohamed bilal,jina tu alivyokosea unaona kabisa hamna anachojua kuhusiana na hilo sakata au aliemtuma alishindwa kumtajia jina akaamua kivyake vyake atumie gharib bilal akifananisha na makamu wa rais wa awamu 4
 
Fact.....kuna container za samani waziri wa fedha alikomaa zilipe Kodi.... wakati mwenye Dar akitaka zipite bure eti msaada kwa walimu na shule, unakumbuka?..... G*S*M nahisi alikuwa anatafuta upenyo.....
No zile containers ni wana Diaspora wa US walichanga vifaa.
P
 
Baada ya matajiri kushughulikiwa na jiwe Ili wawe masikini wengi walikimbia nchi wengine wakajiongeza Ili mambo yao yaende wakatumia msemo,mjinga mpe ukubwa Ili uishi.
GSM walijiweka kwa makonda Ili kulindwa na mateso ya jiwe. Makonda akaona fursa akawatumia gsm kuvuna utajiri huku GSM wakinufaika kwa ulinzi wa makonda. Leo GSM awamuhitaji makonda Ili waishi. Makonda ni ganda la mua limeisha utamu, hana faida wala madhara tena kwa GSM. GSM wanataka kurudisha mali zao walizompa makonda bila ridhaa yao. Hata rostam aliona atakimbia hata lini, mjinga mpe ukubwa Ili mambo yako yaende akarudi nchini akajisalimisha kwa jiwe akampa kituo cha radio na TV, MO, bakresa wakatumia mbinu hio hio ya mjinga mpe ukubwa.
Kosa la manji ni kutaka kuleta ligi, jiwe ukushamsujudu na kumpa ukubwa wake hagukusi wala kuchezea mali, ukitaka ligi nae umekwisha, jiwe akikunyoosha kubali kushuka usitafute nae ligi.
Makonda ni ganda la muwa lililoisha utamu, huu ni mwanzo tu wengi watajitokeza tu kutaka mali zao zirudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…