Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,377
Reaction score
2,048
Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?

Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.

Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.

Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.
 
mimi ni mzaliwa wa pili, lakini ndiyo kapuku wa mwisho kwenye familia
 
Hakuna ukweli wowote, sample space haisadiki
 
Unachukua sample kwa kufavour mtazamo wako. Lazima tu utapata majibu uyatakayo.

Na hiyo imeanzia kwenye familia yenu, si ajabu ulikua ukiona mtu kafanikiwa ukiambiwa ni wa kwanza au wa mwishu hukuwahusisha kwenye tafiti yako ya mchongo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kuna wapili nnawaona wanapigika kuzidi hata akina bambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…