Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?
Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.
Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.
Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.