Hivi kuna siri gani kati ya mtoto wa pili kuzaliwa na kufanikiwa kimaisha?

hakuna uhusiano kati ya mtoto wa pili na mafanikio.
 
 
Mleta mada amerefer kwenye maandiko matakatifu, (lakini pia watu mashuhuri hapa duniani) na ndio maana akamtaja Yakobo. Lakini watu humu wamekomaa tafiti tafiti.

Tukibase kwenye maandiko matakatifu, anachosema mleta mada ni kweli. La kwanza ni hilo alilosema yeye; yaani Yakobo na Esau, ambapo Yakobo aliibuka, angalia Musa na Haruni, Musa aliteuliwa kuwaongoza Wanaisraeli (Haruni alikuwa msaidizi wake), angalia Kaini na Abel (mchangiaji mmoja alisema), sadaka (matoleo) ya Abeli ilimpendeza Mungu, angalia Manase na Efraimu (hawa ni watoto wa Yusufu), Efraimu ambaye alikuwa wa pili kuzaliwa alipata baraka nyingi zaidi, na wengine wengi!
 
Labda kwenu ndio amefanikiwa mtoto wa pili
 
Mi wa pili Sina kazi mda sana tangu nimalize chuo mpaka nimeanza kuongea pekeangu sijuo ndo kichaa
 
Itakuwa kwenu ni walokore na mtoto wa kwanza ni wa kike Ba kwa na tiki hiyo we ndio mtegemewa
 

Mtoto wa pili ndie anayefurahia maisha, second born ndio tuna have all the fun, mtoto wa kwanza yeye kazi yake majukumu, kikihitajika kitu second born unajibu “sasa hivi niko vibaya mtafuten brother atakuwa anapesa” imeisha hiyo

first born wengi ni selfless kwahiyo wanapata majukum mengi, wakat second born unajiangalia mwenyewe unafanya yako

Wakat last born ndio mvivu haelewi chochote anajua hata akiharibu anapata msaada kwa favourite brother wake ambae ndio second born(sabab ya kufanana kwa lifestyle zao) akija kuomba msaada anakimbizwa tena kwa kaka mkubwa [emoji28]
 
Hii kitu ina ka ukweli flan kwa upande wangu....

ka upepo kakiendelea hv, ntatoboa kwa herufi kubwa.
 
A!
 
Baraka zote zipo kwa mtoto wa Kwanza. Ye ndo lango la wote kimwili, kiroho yule wa kwanza kupokea wokovu Ndio lango haijarishi wa ngapi. Yote kwa yote njia za Mungu hazichunguziki

Umemaliza Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…