Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Ni kweli lakin.. familia nyingi ninazo zijua hata mimi, mtoto wa pili ndo ametoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna uhusiano kati ya mtoto wa pili na mafanikio.Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?
Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.
Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.
Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.
Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?

Labda kwenu ndio amefanikiwa mtoto wa piliJamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?
Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.
Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.
Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.
Ni jambo la muda bado unaishi utatoboa tu.Mi wa pili Sina kazi mda sana tangu nimalize chuo mpaka nimeanza kuongea pekeangu sijuo ndo kichaa
Jamani naomba kuuliza hili jambo lina ukweli wowote wa mafanikio kimaisha kati ya mtoto wa pili na wengine?
Maana kwa asilimia kubwa wanaofanikiwa kwa asilimia nyingi ni watoto wa pili kuzaliwa. Nimechunguza familia karibu tatu na ya nne ni yangu mimi yaani wa pili kuzaliwa ndio katoboa kimaisha tulio baki tunasindikiza.
Katika biblia pia Jacobo alikuwa wa pili kuzaliwa, Joe, Bill Clinton, hao wote ni wapili kuzaliwa katika familia zao.
Mwenye uelewa aje na facts tafadhali.
A!Mtoto wa pili ndie anayefurahia maisha, second born ndio tuna have all the fun, mtoto wa kwanza yeye kazi yake majukumu, kikihitajika kitu second born unajibu “sasa hivi niko vibaya mtafuten brother atakuwa anapesa” imeisha hiyo
first born wengi ni selfless kwahiyo wanapata majukum mengi, wakat second born unajiangalia mwenyewe unafanya yako
Wakat last born ndio mvivu haelewi chochote anajua hata akiharibu anapata msaada kwa favourite brother wake ambae ndio second born(sabab ya kufanana kwa lifestyle zao) akija kuomba msaada anakimbizwa tena kwa kaka mkubwa [emoji28]
Baraka zote zipo kwa mtoto wa Kwanza. Ye ndo lango la wote kimwili, kiroho yule wa kwanza kupokea wokovu Ndio lango haijarishi wa ngapi. Yote kwa yote njia za Mungu hazichunguziki
Siyo kwa mfano wako.Hata kaini na Abel, Abel alikuwa wa pili na alitoboa kaini alikuwa wa Kwanza hakutoboa akaingia wivu na hasira akampoteza ndugu yake.
Kuna ukweli hapa
Kuchanyikiwa tiyari Bado pesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi wa pili Sina kazi mda sana tangu nimalize chuo mpaka nimeanza kuongea pekeangu sijuo ndo kichaa