Hivi kuna tatizo gani la kimtandao huko X? Ni ngumu kuingia huko hata kwa kutumia VPN

Hivi kuna tatizo gani la kimtandao huko X? Ni ngumu kuingia huko hata kwa kutumia VPN

Joined
Jul 3, 2025
Posts
26
Reaction score
17
Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
 
Kumekuwa na changamoto za kuingia kwenye mtandao wa X . Je wanajukwaa tatizo hili ni mkakati tu wa dola kuzuia wakosoaji ama ni matatizo tu ya KIMTANDAO?
Acha kutumia tecno, Infinix, Samsung A series, itel and the likes..
Uta enjoy
 
ukiingia tu kabla hazijaaza kufunguka picha andika oktoba tunatiki itafunguka bila VPN.
 
Usitegemee vpn moja, kuwa nazo hata 3 ! Zipo za kulipia pia na ambazo ni free ! Leo nilikwama mara kadhaa, nikabadili vpn kitu kikaitika
 
Back
Top Bottom