Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Hakuna shida kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tengeneza Yako....baba alishatengeneza yake na wewe ukiwemoEwaaa, Hiyo ndo familia muhimu💪
Naipigania tu, unajua ukiwa single Kuna risk unaeza zifanya.Tengeneza Yako....baba alishatengeneza yake na wewe ukiwemo
Ila wewe😄🤣🤣😂Unyongwe tu!maana huna kazi tena,kwa Nini uwe single Sasa?
Akifa kabla ya kuwa wazee? Ukizéeka halafu akapatwa na gonjwa la kumlemaza?Usisahau na kampani ya uzeeni pia.
Hao single wapo?Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔
👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama mwanadamu??
Sheria ya asili(nature) inasema nguvu ya asili ipo hapo kukutumikia-
👉Pale unapo jihisi Maumivu, ita kutafutia mtu au kitu Cha kukufariji.
👉Na hivyo hivyo kinyume chake, nguvu hiyo inapoona Sasa mtu huyu kafarijika- basi huondoa sababu hiyoo.
Sasa jamani tusi hamasishane Sana katika Jambo hiloo, mtu akiona inafaa kwa nafasi yake Basi Ni sawa.
Note: sijasema watu wasipendane, au kutokuwa kuoana.
👉Wala SI support Jambo lolote hasi.
👉 I mean no malice to nobodyView attachment 2667559
It's just me alone 🤒Hao single wapo?
BTW, u-single upi unaouzungumzia? Wa kutokuwa na mtu maalumu? Ya kwamba yeyote yule unapita naye and no strings attached? Single wa hivi wapo wengi tu.
Wata kuja kukupijga😂🤣😄Akifa kabla ya kuwa wazee? Ukizéeka halafu akapatwa na gonjwa la kumlemaza?
Ni hoja ya laana hii. Maana biblia inasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu kwa chochote"
We ulipofika hapo kwani hujaona vifo vya watoto? Mbona mtoto wewe hukufa?Akifa kabla ya kuwa wazee? Ukizéeka halafu akapatwa na gonjwa la kumlemaza
Binti chugah Ume muelewa vibaya, yeye kampinga Yule aliye sema Kuna kuumwa uzeeni😄🤣We ulipofika hapo kwani hujaona vifo vya watoto? Mbona mtoto wewe hukufa?
1. Yule alisema watoto ni kampani uzeeniBinti chugah Ume muelewa vibaya, yeye kampinga Yule aliye sema Kuna kuumwa uzeeni😄🤣
Ohh nime Elewa sasa😄, after all Nyimbo ya single - harmonize ni 🔥🔥🔥1. Yule alisema watoto ni kampani uzeeni
2. Yeye akajibu kwa kumpa swali, asipofika uzeeni?
3. Namm nikaongeza langu
Ooh sorry, ni Intelligent businessman nadhani ilikua typing error 🙏🙏Mimi jobless pro max bhana😂😄, huyo kiongozi ni nani 🤔 Leejay49
Oyaa mbona ume kuwa hivyo🤔🤔, samahani ya nini ???.Ooh sorry, ni Intelligent businessman nadhani ilikua typing error 🙏🙏
I understandOyaa mbona ume kuwa hivyo🤔🤔, samahani ya nini ???.
👉It's just a normal talk my friend
Afu mbona pmn Ume funga😄😄I understand
Kwahiyo hoja kwamba ndoa inafaa kwa kuwa uzeeni mtafaana imekufaWe ulipofika hapo kwani hujaona vifo vya watoto? Mbona mtoto wewe hukufa?