Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #81
Mimi sikubaliani nayo😂🤣😄Kwahiyo hoja kwamba ndoa inafaa kwa kuwa uzeeni mtafaana imekufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sikubaliani nayo😂🤣😄Kwahiyo hoja kwamba ndoa inafaa kwa kuwa uzeeni mtafaana imekufa
😂😂😂😂Kitanzi chap!na deli tunataifishaIla wewe😄🤣🤣😂
We deli langu ni Kama kengele zangu ndogo😂🤣🤣🤣😂😂😂😂Kitanzi chap!na deli tunataifisha
🤣🤣🤣🤣🤣Ndio utafute baby ukizubaa utalipoteza deli na wewe mwenyewe utapotezwaWe deli langu ni Kama kengele zangu ndogo😂🤣🤣🤣
Acha niji tahidi Mwaka huu, maana mwKa 2024 Nita Jitahidi kuji tumia za kutolea nyingi😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ndio utafute baby ukizubaa utalipoteza deli na wewe mwenyewe utapotezwa
🤣🤣🤣Unataka kuwa Mo Dewji miaka kadhaa ijayo sio?Acha niji tahidi Mwaka huu, maana mwKa 2024 Nita Jitahidi kuji tumia za kutolea nyingi😂🤣🤣
👉Naji tumia katika namba yangu ya pili😂🤣🤣
Mkuu kwema siku mbili hizi ulipotelewa wapi mkuuJibu nime lipata, stay single kijana🤓🤣
Kijana una shida gani🤓Chinga 😁🤣😁
Nilikuwa naumwa🤓🤣Mkuu kwema siku mbili hizi ulipotelewa wapi mkuu
We dogo itakuwa ume lewa🤓🤣Mkuu kwema siku mbili hizi ulipotelewa wapi mkuu
Poleee sana kakaNilikuwa naumwa🤓🤣
Dah 😂We dogo itakuwa ume lewa🤓🤣
Ukitaka kujikuna mgongoni na haufiki.....😀😀😀😊😊Habari wakuu, nimeona niulize swali hili baada ya kuona Jamii imekuwa na shutuma Sana kuhusu mahusiano au ndoa.
Iwe kwa kijana wa kiume au wa kike, je hakuna nafasi ya free will Kama mwanadamu🤔
👉Ni lazima wote twende na trend hiyo iliyopo??,
👉 Usinambie kupendwa, je wewe huwezi jithamini Kama mwanadamu??
Sheria ya asili(nature) inasema nguvu ya asili ipo hapo kukutumikia-
👉Pale unapo jihisi Maumivu, ita kutafutia mtu au kitu Cha kukufariji.
👉Na hivyo hivyo kinyume chake, nguvu hiyo inapoona Sasa mtu huyu kafarijika- basi huondoa sababu hiyoo.
Sasa jamani tusi hamasishane Sana katika Jambo hiloo, mtu akiona inafaa kwa nafasi yake Basi Ni sawa.
Note: sijasema watu wasipendane, au kutokuwa kuoana.
👉Wala SI support Jambo lolote hasi.
👉 I mean no malice to nobodyView attachment 2667559
JF members tunahitaji msaada wa haraka kwa kijana huyu,anapoelekea sasa atajinyonga....Jibu nime lipata, stay single kijana🤓🤣
Maumivu yasikie kwa mwenzio🤓🤣Poleee sana kaka