Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo, tena mengi tu ya kifahari, lkn bado akimuona kidume "anatembelea ------" yaani anadrive lazima ashoboke! Duh...!