Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
kuna nyumba, kibanda, villa, mansion, etc sio dharau or whatever..sidhani kama hiyo nyumba itakua ni fresh kiviile..unless uwe unapiga business na hautegemei mshahara..thats how i see it Mr..no offence tho..may be sort of kibanda..man..na kama ulifanikiwa kweli siipimii hiyo rescession..uliyoipitia..Nyumba yangu ya kwanza niliijenga nikiwa na 25yrs na sikuwa na gari na wala sikuwa nimeoa. Marafiki zangu walionunua magari kipindi hicho wengi walishaaga dunia kwa kesi gonjwa. Gari + Tamaa ya madem = danger.
owkei ni mitazamo tu hii..ingawa kiwanja ni muhimu or nyumba lakini..the way life is..the best thing is a vehicle then, kiwanja, construction..na hayo yote yatategemea ni wapi pananunuliwa kiwanja..i see your much of future oriented..That is why nilisema nina mtazamo tofauti, na huu ndo mtazamo wangu.
What u said ni mtazamo wako.
As for me hata km ndo first appointment ukanunua gari na mwingine wa same status akanunua kiwanja, still kwangu aliyenunua kiwanja ndiye nitakayempa BIG up, narudia ni mtazamo wangu.
Ndiyo sababu ya vijana wengi hawajengi wanakimbilia kwenye magari,m2 mshahara laki 5 unanunua gari mafuta elfu 10 kwa cku=laki 3 kwa mwezi unabakiwa na laki 2,asa hapo unaifanyia gari kazi.tena
Ni ulimbukeni tu na sio wote wanashobokea hayo magari ila frankly speaking gari ikiwepo una feel kitu fulani na ni rahisi kutembelea/kufika maeneo mengi
sio kweli, wanaume wanawaogopa wanawake wenye magari, tena kama hujaolewa ukanunua gari lako upo kwenye risk kubwa katika kupata mchumba, kuna jiran yangu hapo nje ni mhasibu kwenye kampuni moja ya simu, amenunua kari lake spacio, yuko desparate mpaka saiv hakuna anayemsemesha mtaani.. wanaume funguken, je unajisikiaje kuanza kupiga sound dem lenye gari wakati wew huna?
Ndoa yangu iliyumba sana jirani aliponunua gari na kuanza kutupa lift mm na wife kwenda kazini!
Kwa ufupi ukiwa na"motokali"kwenye nchi ya dunia ya tatu hawa jinsia tofauti utachagua mwenyewe ukale bata na nani leo Chamwino!
Niliponunua langu ndoa ikaimarika kweli kweli ahahahahah!
mimi nakula kuku tena wa kienyeji lakini ningekuwa na gari nisingeweza kula....Ukiwa na mahesabu ya hivi hata kuku hutakuja kula.
Sisi wa boda boda mbona umetusahau?Ugonjwa wa gari naona mimi ndiyo umeniathiri zaidi, hata nikimuona mtu anaendesha trekta, bajaji au tipper la mchanga tayari najisikia kufa kwake kabisaaa.
Nawa-mind wenye tairi 3 na kuendelea. Ninyi wenye tairi 2 sawa na baiskeli sina muda nanyi.Sisi wa boda boda mbona umetusahau?
Kitu cha kwanza ni kuwekeza kwenye miundo mbinu ya kupatia pesa, gari ni muundo mbinu mmoja wapo tena kwa zama hizi za utandawazi ni wa kwanza.owkei ni mitazamo tu hii..ingawa kiwanja ni muhimu or nyumba lakini..the way life is..the best thing is a vehicle then, kiwanja, construction..na hayo yote yatategemea ni wapi pananunuliwa kiwanja..i see your much of future oriented..
Kicheche tu kama wengine.Mhhh huyo wife wako naye! Sasa likiharibika si utampoteza?
Hutaki fully natural kipupwe?Nawa-mind wenye tairi 3 na kuendelea. Ninyi wenye tairi 2 sawa na baiskeli sina muda nanyi.
Hahaha mkuu iyo unasolve vp mbona y haipo kwenye eqn..
ukitaka usiolewe nunua gari?wanamme hawashobokei wanawake wanao-drive?
Ni kweli lakini mara nyingine ulimuokoa Kunguru kutoka kwenye madhara ya manati na mbwewe.Uoga wako umaskini wako
kuna nyumba, kibanda, villa, mansion, etc sio dharau or whatever..sidhani kama hiyo nyumba itakua ni fresh kiviile..unless uwe unapiga business na hautegemei mshahara..thats how i see it Mr..no offence tho..may be sort of kibanda..man..na kama ulifanikiwa kweli siipimii hiyo rescession..uliyoipitia..