Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya kuoa na kuchepuka?

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana.

Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana.

Tatizo ni nini hapo?
 
Imeandikwa ukizini unakua huna akili Tena ko shetani anakutafuta kwa udi na uvumba uzini then usiwe na akili ili akutawale vizuri na kizazi chako
 
Kwa hiyo sisi Wanaume wote tusiokua na ndururuu ndiyo tunaitwa Mume kimeo!!?? Na Mume asiye simamisha japokua faranga ipo yeye ataitwaje!!??
Ni bora uishiwe nguvu za kiume na sio pesa KWA mwanamke
 
Back
Top Bottom