Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
kama hujui kitu ni bora ukaulizaJibu simple bila unafiki ni kwa sababu Uislamu ni dini yenye ushirikiano wa moja kwa moja na majini na siku zote majini hayataki uchafu na wanawake uliowataja ni wake wa binadamu na majini pia.
Hello JF,
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu
Wadiz
Mungu akusamehe hujui ulitendalo.Jibu simple bila unafiki ni kwa sababu Uislamu ni dini yenye ushirikiano wa moja kwa moja na majini na siku zote majini hayataki uchafu na wanawake uliowataja ni wake wa binadamu na majini pia.
Una uhakika hajui?Mungu akusamehe hujui ulitendalo.
Mbona kuna 'bata' wengi tu huku mitaani ambao ni wa hiyo dini??Hello JF,
πππ
Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu
Wadiz
Kuna wakristo wengine wanaingia nyumba za ibada wakiwa na hangoverMoja ya amri na agizo kuu katika Uislam NJ Usafi. Hasa usafi WA Kimwili.
Uislam na torati ni usafi/utakatifu.
Ukristo hauna uhusiano wowote na utakatifu/Usafi
Hizi mada ni za kipuuzi. Na hivyo hamtakiwi kuzipa kipaumbele.Hello JF,
πππ
Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu
Wadiz
Uliza ufahamishweJibu simple bila unafiki ni kwa sababu Uislamu ni dini yenye ushirikiano wa moja kwa moja na majini na siku zote majini hayataki uchafu na wanawake uliowataja ni wake wa binadamu na majini pia.
Aulize ili afahamishwe ujinga! Tangu lini usafi wa mwili ukahusishwa na dini ya mtu?Uliza ufahamishwe