Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

Hello JF,

👇👇👇

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
Ukweli mchungu huuu ukweli mcungu huu
 
Hello JF,

[emoji116][emoji116][emoji116]

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
Point of correction, Hakuna Dini za magharibi Dini zote kubwa Duniani asili yake ni middle East Israel, Iraq,Syria, Lebanon and Iran, baada ya hapo zikaenea ulimwemgu wote, simply we call them Ibrahimic religious beliefs yaani Christianity,jewism and Islamic, najua ndiyo lengo lako
 
Jibu simple bila unafiki ni kwa sababu Uislamu ni dini yenye ushirikiano wa moja kwa moja na majini na siku zote majini hayataki uchafu na wanawake uliowataja ni wake wa binadamu na majini pia.
Get ready for another battle [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] from Beirut, Tehran and Mecca [emoji137][emoji137][emoji2532]‍[emoji3601][emoji137][emoji2532]‍[emoji3601]
 
Waislamu wanapenda usafi hasa ukipata Mwanamke wa kiislamu lazima ufurahi hawana Uchafu kabisa.

Hii dini ndo dini namba moja kutengeneza watu Bora hapa Duniani

hata wanaume wa kiislamu wasafi Sana
 
Mtazamo wako upo Sahihi wanawake wa kiislamu wasafi Sana , sio haya majitu unakutana nayo yamesuka katani mikucha mirefu imevaa ovyo hatari tupu

Uislamu ndo dini sahihi hawa the rest Mimi sionagi hata wanachosali mtu anaenda kanisani na nguo imebana mapaja hatari tupu
 
Mi mkristo ila naupenda uislam kuliko ukristo. Ni wasafi wa mwili na moyo, ni wakarimu, wana huruma, wana hifu ya Mungu, kikubwa kabisa mwislam anaridhika na alicho nacho hawana tamaa kabisa, NB naongelea mwislsm aliyeshika dinni vizuri sio wale tunakutana nao bar
 
Usafi mwingine wa kutoa kinyeo hapo zanziba, mombasa na huko uarabuni. Fikiria watu wanapakuliwa kinyeo lakini hakinuki nasikia hadi kulambana huko wanalambana
Acha uongo mkuu, sijaona wala kusikia duniani kote ndoa ya mashoga au wasagaji imefungishwa msikitini ila makanisani mwetu zinafungwa, hivo hii inabakia ni tabia ya mtu mmoja mmoja
 
Uislamu unahubiri usafi. Mtaalamu mmoja alieleza kuwa hata zamani magonjwa ya mlipuko ilikuwa ni nadra sana kutokea kwa waislamu, sababu kila kabla ya sala, mara tano kwa siku lazima wanawe vizuri.
Ugonjwa wa kipindupundu umeletwa na mahujaji.
 
Hello JF,

👇👇👇

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
Ushaanza kuwapondea wa dini za magharibi mkuu sababu ya fikra finyu na ubaguzi wa kidini na hii inaonyesha hujasafiri duniani mkuu na unadhani mapokeo ya dini ya kiarabu na ulimwengu wa mashariki ya kati ndio dunia pekee,ushauri wangu tembea duniani ujionee maisha ya wanadamu.Kwahiyo wewe mkuu unajua wanawake wa kiislamu sio wazinzi,wafuska na kadhalika???.Ebu nenda Tanga,Ujiji,Mombasa,Lamu na Zanzibar na Sofala ujionee
 
Uislamu unahubiri usafi. Mtaalamu mmoja alieleza kuwa hata zamani magonjwa ya mlipuko ilikuwa ni nadra sana kutokea kwa waislamu, sababu kila kabla ya sala, mara tano kwa siku lazima wanawe vizuri.
Kile kipindupindu cha mwaka 1874 kilichoua waarabu wengi wa Oman zanzbar ilikuaje????? Au wale hawakua waislamu???
 
Al islam nadhif. Uislamu ni usafi, wa moyo na mwili. Niliacha kuswali swala5 kwa sababu nilishindwa masharti.
Usijidondoshee hata tone la mkojo, itabidi uvue hizo nguo uvae zingine. Usigusane na mwanamke usitokwe na ute wowote, usijambe hovyo hovyo unapoteza udhu wako.
Msikitini kuna mabafu ya huoga na watu huoga habla ta sala iwapo umechafuka. Huwezi tenda yote hayo ukawa mchafu.
Mazingira yangu yakawa hayasapoti nokaacha sala tano, nina deni kubwa sana.
Al Islam nadhf!
Hakuna shida ila asipondee dini za Wengine kua ni wachafu.Hii dunia huru sio lazima watu wote wafuate mapokeo ya dini ya waarabu na mungu wa kiarabu.
 
🤣🤣🤣 wanawake gani wa kiislam mnao waongelea!? Wa hapa bongo au huko uarabuni?. Hawa wa kibongo wapenda shughuli, wakiwa na shughuli ni kuvaa vijora bila chupi, wanakodi daladala wanaanza kunengua kwenye seat wengine hadi madirishani wanazunguka mji mzima. Halafu ikifika mwezi wa ramadhani wanajificha kwenye majuba. 🤣🤣🤣
 
Gusa link kachangie

mnapenda sana bullying kwa wanafunzi wanaojistiri ni kawaida yenu
 
Attachments

  • 337510207_596239742144677_870465460549795882_n.mp4
    2 MB
Waungwana wa kikristu muache hasira na ujinga. Mwenzenu kaja kuuliza ili apate kufahamu sababu ni nini hadi kutokea hiyo hali. Nyinyi mumeanza kushambulia uislamu bila ya sababu.

Inshaallah mtaelewa tuu. Haya mambo hayataki hasira katika kujifunza. Hata uislamu wenyewe una taratibu zake zs kumfunza mtubkuwa nadhifu.

Mnapokasirika mnadhihirisha chuki sana na kukosa kujidhibiti mihemko yenu. Kuna mambo mukubali tuu kwamba dini yenu ama nyinyi wenyewe hamzingatii unadhifu kwenye maisha yenu ya kila siku.

Ahsanteni.
 
Siyo kweli! Swala la Usafi siyo la kidini. Usafi ni swala la kiafya ambalo kila mtu lazima alifanye.Tushukuru tu hapa Tanzania serikali yetu imefanya jitihada ya kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu.Lakini huko nyuma maeneo ambayo yanakaliwa na Waislamu ndiko kulikokuwa na milipuko ya kipindupindu! Kwa sababu wakitawadha hawakumbuki kunawa mikono kwa sabuni.
 
Jibu simple bila unafiki ni kwa sababu Uislamu ni dini yenye ushirikiano wa moja kwa moja na majini na siku zote majini hayataki uchafu na wanawake uliowataja ni wake wa binadamu na majini pia.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uongo mkuu, sijaona wala kusikia duniani kote ndoa ya mashoga au wasagaji imefungishwa msikitini ila makanisani mwetu zinafungwa, hivo hii inabakia ni tabia ya mtu mmoja mmoja
Kanisan kwako wapi walifungishwa?
 
Back
Top Bottom