Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Inawezekana kweli ikawa walikesha wakitembea, je hawana haki ya kwenda kwenye ibada?Kuna wakristo wengine wanaingia nyumba za ibada wakiwa na hangover
Wengine ukiwacheck miguu jinsi ilivo na vumbi kama wamekesha wanatembea