Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello JF,

👇👇👇

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
 
Al islam nadhif. Uislamu ni usafi, wa moyo na mwili. Niliacha kuswali swala5 kwa sababu nilishindwa masharti.
Usijidondoshee hata tone la mkojo, itabidi uvue hizo nguo uvae zingine. Usigusane na mwanamke usitokwe na ute wowote, usijambe hovyo hovyo unapoteza udhu wako.
Msikitini kuna mabafu ya huoga na watu huoga habla ta sala iwapo umechafuka. Huwezi tenda yote hayo ukawa mchafu.
Mazingira yangu yakawa hayasapoti nokaacha sala tano, nina deni kubwa sana.
Al Islam nadhf!
 
Hello JF,

[emoji116][emoji116][emoji116]

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz

Sema uliokutana nao pande zote ni wachache kufanya maamuzi
 
ukiongelea uzinzi apo sio kwel, ninkwamba mwanamke wa kiislam ni muasherani sana ila kwa kujificha na majuba kichwani, wa kikristo wanafanya waziwazi.

mashoga wengi apa nchini ni waislam kama mnalikataa ilo fanyeni uchunguzi kwa ilo,

usafi wa mwili wew unapagawa na kujipulizia kwao udi na ubani lakin ilo sio kwel
 
Hello JF,

👇👇👇

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
Mbona kuna 'bata' wengi tu huku mitaani ambao ni wa hiyo dini??
 
Hello JF,

👇👇👇

Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi.
Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji sio tatizo, pesa sio tatizo na muda upo.
Hii ni perspective na experience yangu

Wadiz
Hizi mada ni za kipuuzi. Na hivyo hamtakiwi kuzipa kipaumbele.

Usafi ni tabia ya mtu. Na hukua nayo tangu utotoni. Hivyo hii nadharia yako haina mashiko.

Juzi kati kuna mwenzako naye alikuja na mada ya watoto wa kiislam wana fanya nini sijui kuliko watoto wa kikristo!

Hivi mna shida gani nyinyi viumbe? Kwa nini baadhi yenu huwa mnajiona ni bora sana pamoja na hiyo imani yenu? Na kama mnajiona ni bora sana kuliko wengine, kwa nini msinyamaze kimya? Kuna ulazima wowote ule wa kutaka kujilinganisha kila siku?

Au umefuturu, na kushiba! Sasa akili inakutuma kuandika mambo ya kipuuzi tu! Acheni mambo yenu bhana.
 
Back
Top Bottom