Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.

Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.

Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
 
Wana kata matonge makubwa...😂😂
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...😃
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...🤣🤣
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...😝😝
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...🤨
Nakadhalika na kadhalika...
 
Joannah 😹😹
 
Kuna mmoja huyo anakata bonge moja la tonge afu anaanza kuligawanya vipande vipande likiwa hapo hapo mkononi 😂
 
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Hii ni sawa sawa na uchaga na usaliti
 
Mimi wananitumia pesa kwenye namba yangu wakiamini ni ya ndugu yao nazikula tu kibubu kinajaa
 
Wana kata matonge makubwa...😂😂
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...😃
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...🤣🤣
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...😝😝
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...🤨
Nakadhalika na kadhalika...
Matonge hayo lazima yawe na tela zake za ukubwa sawa
 
watu wanaoishi vijijini wanakuwa na uelewa mdogo wa mambo ya mjini hivyo huonekana washamba

sasa kwavile wasukuma wengi wanaishi vijijini mmekariri wote ni washamba

halafu mambo mengi mnayowasemea kama kutokujinyima chakula na kupenda kilugha chao si ushamba ni mtindo wa maisha tu
 
Back
Top Bottom