Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwangu binafsi kila binadamu ana chembechembe za ushamba hata aishi mjini kiasi gani.Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea