Hiyo kutokujinyima chakula umeiweka kitaalam sana mkuu😆 na umeandika Kwa hisiawatu wanaoishi vijijini wanakuwa na uelewa mdogo wa mambo ya mjini hivyo huonekana washamba
sasa kwavile wasukuma wengi wanaishi vijijini mmekariri wote ni washamba
halafu mambo mengi mnayowasemea kama kutokujinyima chakula na kupenda kilugha chao si ushamba ni mtindo wa maisha tu