Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Waswahili swqhili wengi ni wapumbavu sana ,,yaani jamii flani ikiamua kuishi katika tamaduni yake inaitwa washamba ,,wasukuma siyo washamba ila wameamua kuishi katika uhalisia wao hawataki kue dit maisha asa wee mjinga mjinga ndo unaona huo ndo ushamba,,,okay umeulizwa toa maaana ya ushamba ni nn unarukaruka tu ushuzi.
Ndiyo maana Watindiga mimi nawakubali sana. Wanakula nyama zao mbichi hawana shida na mtu halafu mtu anatoka huko na ustaarabu wake wa kizungu anaanza kuwaponda. Hovyo kabisa!
 
Huyo ni soulimeti wangu muache bana. Halafu mimi mbona nimenyoka kama rula jamani? Hebu mwache Mnyaki wa watu aje ale mema ya nchi bana! 😁😁😁

Kama PM yako iko wazi nakuja kukugombesha!
My saulimeti hana shida mtu wa watu, na akipatikana msukuma mwingine kama wewe nipasie mapema, uwe shemeji na uwe solimeti pia😀
 
watu wanaoishi vijijini wanakuwa na uelewa mdogo wa mambo ya mjini hivyo huonekana washamba

sasa kwavile wasukuma wengi wanaishi vijijini mmekariri wote ni washamba

halafu mambo mengi mnayowasemea kama kutokujinyima chakula na kupenda kilugha chao si ushamba ni mtindo wa maisha tu
Hawajui kua,hata wao wa mjini,siku wakienda huko vijijini kwa wasukuma,na wao pia wataonekana kua ni washamba.
 
KARIBUNI
 

Attachments

  • downloadfile-19.jpg
    downloadfile-19.jpg
    17.1 KB · Views: 4
hawa wamba ni free souls sana🤣wakiwa kwenye usafiri wa umma kama basi unakuta mmoja yuko siti za mbele anapaaza sauti ya juu kuongea na wenzie walio siti za nyuma hlf wenyewe wanapiga kilugha chao hawana wasiwasi🤣utafikiri wengine hampo kabisa
 
Back
Top Bottom