nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 946
- 2,478
Nimecheka Kwa nguvu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wana kata matonge makubwa...[emoji23][emoji23]
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...[emoji2]
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...[emoji1787][emoji1787]
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...[emoji13][emoji13]
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...[emoji2955]
Nakadhalika na kadhalika...