Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Waswahili swqhili wengi ni wapumbavu sana ,,yaani jamii flani ikiamua kuishi katika tamaduni yake inaitwa washamba ,,wasukuma siyo washamba ila wameamua kuishi katika uhalisia wao hawataki kue dit maisha asa wee mjinga mjinga ndo unaona huo ndo ushamba,,,okay umeulizwa toa maaana ya ushamba ni nn unarukaruka tu ushuzi.
 
Ngoja niteme nyongo kidogo
I declare interest

Huu ushamba umetusaidia tumenunua ardhi yenu morogoro, Iringa, Mbeya Tanga ,Dodoma, lindi, mtwara, mpanda Kigoma, achana na mikoa yetu, Huko kwenu ndo tunachungia na kuzalisha vingi.
Na dada zenu huwambii kitu Kuhusu sisi.
Huu ushamba bana tunamiliki population ya 20+ million na theluthi ya wanafunzi wa elimu ya juu nao ni wetu.
kwa kufupisha story
ushamba wetu ndo akili zetu we ukisema tena kesho nanunua ekari mia songea.
 
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Unajua unaweza ukajiona uko sawa na mjanja kuliko wengine, kumbe una upumbavu Mwingi sana uliokujaa kichwani bila ya wewe kujua?

Wewe kwanza hata kuandika kiswahili fasaha tu huwezi halafu uko hapa kuwakashifu wengine kuwa ni washamba, hivi unajua ujinga na upumbavu ni combination mbaya sana kuliko hata ushamba?

Sasa wewe nakuona una hivyo vitu viwili yaani upumbavu na ujinga.

Hili kuonesha wewe ni mpumbavu na mjinga angalia hata kigezo ulichotumia ku-support mada yako eti kukosea namba ya simu, hivi Kuna watu ambao hawakosei namba ya simu na Bado wakaendelea kuwa ving'ang'anizi tofauti na wasukuma?

Haya hili tukutoe kwenye group la wapumbavu hebu tuambie Nini maana ya ushamba.
 
Ushamba kwa msukuma upo kwenye DNA kabisa
Binafsi Huwa nina mdharau sana mtu anayeongea Kwa kujiamini hivi huku akiongozwa na stereotypes.

Yaani sio tu kukudharau Bali Kwa kauli hii ninakuona wewe ni mpumbavu sana na ni binadamu upeo duni ambaye Hana elimu ya kijamii.

Muda mwingine muwe mnajaribu kuficha ujinga na upumbavu wenu hili tuendelee ku-assume mna akili timamu.

Nina uhakika nikikwambia utupe uthibitisho usiokuwa na shaka kwamba huo ushamba wa wasukuma uko vipi kwenye DNA huwezi.

Halafu mtu mwenyewe unajiita kasongo yeeyee, unajua hata maana yake kwanza au umejiandikia Kwa sababu ya akili zako nyepesi zinazoiga iga kila jambo?
 
Mimi nimekupigia. Halafu unasema eti nimekosea namba. Ina maana mimi sina akili ama?

Jana tu nimezozana sana na jamaa anasema sijui eti wrong number wakati namba hiyo ilikuwaga ya pisi yangu mwaka mmoja na nusu tu uliopita. Sikutaka kumwelewa kabisa. Na leo nampigia tena mpaka kieleweke dadeki! 😁😁😁
🤣🤣🤣🤣 kwakweli usikubali, mpaka akueleze hiyo namba kaitoa wapi!!
 
Binafsi Huwa nina mdharau sana mtu anayeongea Kwa kujiamini hivi huku akiongozwa na stereotypes.

Yaani sio tu kukudharau Bali Kwa kauli hii ninakuona wewe ni mpumbavu sana na ni binadamu upeo duni ambaye Hana elimu ya kijamii.

Muda mwingine muwe mnajaribu kuficha ujinga na upumbavu wenu hili tuendelee ku-assume mna akili timamu.

Nina uhakika nikikwambia utupe uthibitisho usiokuwa na shaka kwamba huo ushamba wa wasukuma uko vipi kwenye DNA huwezi.

Halafu mtu mwenyewe unajiita kasongo yeeyee, unajua hata maana yake kwanza au umejiandikia Kwa sababu ya akili zako nyepesi zinazoiga iga kila jambo?
Kwa povu hili mjomba sijui hata nikuweke kundi gani, maana hata wasukuma wenyewe nimeishi nao hawajawahi kupovuka kiasi hiki wakiitwa washamba.

Anyway, kunywa maji mengi kwanza upate relaxation ya mwili na akili, ushushe kabisa temper, kisha urudi hapa ukiwa umetulia. Siku hizi presha, sukari na magonjwa ya moyo, na saratani ya ubongo ni magonjwa rahisi tu kuyapata.
Usiyafanye maisha yako kuwa magumu kwa kutumia makasiriko ambayo yanakudhuru wewe mwenyewe ukifikiri unawaumiza unaowashambulia na huwajui, ambao hata hayawaathiri kwa chochote.

Nyongeza (japo si kwa umuhimu), wewe unaijua maana ya muhimbu? Au ndo kuikosa hiyo elimu ya kijamii kiasi cha kushindwa kujua kuwa neno moja linaweza kuwa na maana tofauti katika jamii tofauti? Nikikueleza maana katika jamii/lugha yangu ikawa tofauti na huko kwenu utaamua lipi?
 
Huyo anawaponda sana kina Ngosha, inatakiwa atafutiwe mume wa kisukuma aache jeuri 😹😹
Kama jimbo liko wazi niunganishe naye aje aonje maana ya raha hapa duniani 👇👇👇

IMG-20230526-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom