Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Wewe unachoita ushamba mwenzako anaita utamaduni.
 
Kwenye kula miwa ndo wananiachaga hoi
Shimba ya Buyenze mpwa njoo😃
Mpwaaa!

Hata wewe kha!

images (5).jpeg
 
Mie kama jirani yenu nawatahadharisha: Wasukuma wanaenea kwa kasi sana hapo Tz (Sukuma expansionism).

Wako kila mahala ya nchi yenu. Rukwa,Katavi, Tabora, Tanga, nimeshangaa hadi Singida wapo. Na wakifika sehemu na kuizoea kwa muda mfupi LAZIMA WANUNUE ARDHI. Baada ya miaka kadhaa kuna Makabila hayatakuwa na ardhi, maana kilimo wanaona ni ushamba. ARDHI YA TANZANIA ITAKUWA MIKONONI MWA WASUKUMA KWA 70%. Endeleeni kuwacheka kindezi.
Ulitaka wahamie au wanunue ardhi wapi ndezi wewe na linchi lenyewe kubwaaaaa.
 
Wana kata matonge makubwa...😂😂
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...😃
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...🤣🤣
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...😝😝
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...🤨
Nakadhalika na kadhalika...
Wanang'ata tonge Moja mara 250😆
 
Back
Top Bottom