Yule aliyekuwa anatafuna hindi mbele ya mkutano wa hadhara wa zaidi ya watu 2000? Yaani mkono mmoja ameshika mike na mkono mwingine ameshika gunzi la hindi anatafunaMbona namba moja alikuwa mjanja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule aliyekuwa anatafuna hindi mbele ya mkutano wa hadhara wa zaidi ya watu 2000? Yaani mkono mmoja ameshika mike na mkono mwingine ameshika gunzi la hindi anatafunaMbona namba moja alikuwa mjanja?
Halafu ikawaje?Mmoja made my day one day. Kakosea namba, alikuwa anampigia Monica, nikamwambia amekosea. Akakata simu, then akapiga tena. Eti "kama wewe sio Monica basi tufanye tu ndio Monica", nilicheka jamani🤣🤣🤣
Jina na lafudhi.Ukajuaje ni msukuma?
😂😂😂Kama jimbo liko wazi niunganishe naye aje aonje maana ya raha hapa duniani 👇👇👇
View attachment 3209833
Kwakweli, hakutaka shida kabisa.😂😂😂😂Kaona mambo yasiwe mengi
😂😂😂Mchumba mwenyewe ndio Shimba ya Buyenze weee hilo jimbo lina upinzani sanaaa ni gumuuu weeeee usinileteee balaa nikapigwa risasi za Tundu LissuJoannah unaitwa huku mume kapatikana, nataka nimpigie fundi anitengenezee zizi nichukue ng’ombe zangu 😹😹😹
😹😹😹 Shimba yeye mwenyewe anataka kujiweka kwako, na kasema akinywa maji anakuona kwenye glass, hawezi kuishi bila wewe..!!!😂😂😂Mchumba mwenyewe ndio Shimba ya Buyenze weee hilo jimbo lina upinzani sanaaa ni gumuuu weeeee usinileteee balaa nikapigwa risasi za Tundu Lissu
Ndio ushamba au?Wana kata matonge makubwa...
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...
Nakadhalika na kadhalika...
Hapa sijui umenisifia ama umetukana ila sawa tu mkuu, hata kisukuma ntajifunza taratibu
hapo amekuita uende kwamba,"njoo binti"Hapa sijui umenisifia ama umetukana ila sawa tu mkuu, hata kisukuma ntajifunza taratibu
Sasa shida iko wapi hapo...?Kuna mmoja huyo anakata bonge moja la tonge afu anaanza kuligawanya vipande vipande likiwa hapo hapo mkononi
Tatizo liko wapi hapo.Sawa mpwa ndo mtu atafune muwa mrefu kunipita mm kweli
Nawaonea huruma sijui hawaumw menoTatizo liko wapi hapo.
we vipi? nadhani unaongea kitu halafi hunielewi.Nawaonea huruma sijui hawaumw meno
Hapana mkuu, nilijikuta nawaza tuNdio ushamba au?
Nokoke?!Nywanoko
He died.Where is your soul mate now?, umesema alikua msukuma 🙆♂️ ,wasukuma hoyee!
Lete hela nimalizie story🤣Halafu ikawaje?
🤣🤣🤣🤣 Minza kama Minza.Sema tu sina namba yako. Nami ningejikosesha namba nijifanye kuwa nilikuwa namtafuta Minza...halafu nakomaa na wewe mpaka kieleweke 😁
Ooh thank you holoholo babehapo amekuita uende kwamba,"njoo binti"
Pole bas sikunjemawe vipi? nadhani unaongea kitu halafi hunielewi.