Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Wanapenda shobo hata kwa mtu wasiemfaham ni juzi tu nikiwa kwenye daladala la natokea mkolani tulivyofika mkuyuni alipanda dada wa kizungu daladala lilikuwa limejaa hivyo akawa amesimama na begi lake ghafla kuna msukuma huko siti ya nyuma akaropoka "naompa nikusaidie kubhebha bhegi" yule wala hana habari msukuma akarudia tena "naompa nikusaidie kubhebha bhegi naona kama linakuumiza wajameni" ilibidi abiria waangue kicheko tu
 
😆😝😆😂😂😂🤣
 
Wana kata matonge makubwa...😂😂
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...😃
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...🤣🤣
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...😝😝
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...🤨
Nakadhalika na kadhalika...
Hawana aibu kuongea kiSukuma mbele ya mgeni yaani hawa watu
 
Kimsingi waTz sote ni washamba ila hawa watu wameshikilia bendera la washamba na tatizo la ushamba linafanya mtu kukosa viji-elements vya kistaarabu. NB mnisamehe
 
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.

Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.

Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Zamani kwenye gazeti la sani ,kuna katuni ilikuwa inawaonyesha wasukuma wametozwa pesa kuangalia maghorofa Town...na nyingine ile kutembea na radio ya mkulima sehemu yeyote.

Baadaye hao wasukuma wakaanza kujisifia kwamba wamemdhulumu yule mtoza pesa maana wameangalia maghorofa mengi halafu wamempa hela ya kuangalia maghorofa machache.
 
Aisee 😀 😀 ila mimi nawapenda wasukuma jamani naona ni husband materials hawana mambo mengi😀
😃😃😃
Karibu sana huku Ikungulyabashashi, kama unataka Wasukuma waitajirishe familia yako uwe Mweupe, Wazazi wako hawatakosa zaidi ya Ng'ombe 30.
 
Kweli nimeamini Tz hii bila wasukuma haijakamilika asee. Mbona vitu ulivyosema wewe hata waha,wamasai,wambulu nk wako hivyo hata akikosea simu atalazimisha na haelewi Hadi ukate simu?
Manyanza
Wasukuma ni brand kubwa sana Ng'wanangwa. Hivi kuna kabila Washamba kama Waha??? 🤣🤣🤣
Wamasai ni utamaduni na mtindo wao wa maisha.

Halafu Wana expand na ku conquer maeneo mbalimbali miaka 100 ijayo wajukuu zetu watakuwa wameenea karibia asilimia 95 ya maeneo mengi ya nchi
 
Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.

Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.

Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Ni sawa na kuuliza kuna uhusiano gani kati ya kyupi na kalio
 
Kimsingi waTz sote ni washamba ila hawa watu wameshikilia bendera la washamba na tatizo la ushamba linafanya mtu kukosa viji-elements vya kistaarabu. NB mnisamehe
Sawa mjanja wa kimarekani na mstaarabu wa kiingereza. Wewe uko tofauti sana na watanzania wengine kwa ujanja wako.. hata uandishi wako tu hapa na username yako inaonesha wewe bonge la mjanja. Tuiombe serikali sikivu ya mama samia ikupe kibarua cha kuwaelimisha na kuwatoa ushamba wasukuma
 
Back
Top Bottom