Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Wanapenda shobo hata kwa mtu wasiemfaham ni juzi tu nikiwa kwenye daladala la natokea mkolani tulivyofika mkuyuni alipanda dada wa kizungu daladala lilikuwa limejaa hivyo akawa amesimama na begi lake ghafla kuna msukuma huko siti ya nyuma akaropoka "naompa nikusaidie kubhebha bhegi" yule wala hana habari msukuma akarudia tena "naompa nikusaidie kubhebha bhegi naona kama linakuumiza wajameni" ilibidi abiria waangue kicheko tu