Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Mmoja made my day one day. Kakosea namba, alikuwa anampigia Monica, nikamwambia amekosea. Akakata simu, then akapiga tena. Eti "kama wewe sio Monica basi tufanye tu ndio Monica", nilicheka jamani🤣🤣🤣
Halafu ikawaje?

Sema tu sina namba yako. Nami ningejikosesha namba nijifanye kuwa nilikuwa namtafuta Minza...halafu nakomaa na wewe mpaka kieleweke 😁
 
😂😂😂Mchumba mwenyewe ndio Shimba ya Buyenze weee hilo jimbo lina upinzani sanaaa ni gumuuu weeeee usinileteee balaa nikapigwa risasi za Tundu Lissu
😹😹😹 Shimba yeye mwenyewe anataka kujiweka kwako, na kasema akinywa maji anakuona kwenye glass, hawezi kuishi bila wewe..!!!

Jimbo lenye upinzani ndo zuri, hatutaki kupita bila kupingwa twende nalo mji uchangamke 🤣🤣
 
Wana kata matonge makubwa...
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...
Nakadhalika na kadhalika...
Ndio ushamba au?
 
Back
Top Bottom