mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
π€£π€£π€£π€£mmeondoka bila kuaga au sio?Tuko busy na tafrija ya uapisho wa Trump πΉπ€£π€£
Labda uwaite wa huko sengerema waje kutolea ufafanuzi π
Tuage mturoge ndege ilipuke πΉπΉπ€£π€£π€£π€£mmeondoka bila kuaga au sio?
Joannah πΉπΉWana kata matonge makubwa...ππ
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...π
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...π€£π€£
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...ππ
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...π€¨
Nakadhalika na kadhalika...
Kuna mmoja huyo anakata bonge moja la tonge afu anaanza kuligawanya vipande vipande likiwa hapo hapo mkononi πWana kata matonge makubwa...ππ
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...π
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...π€£π€£
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...ππ
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...π€¨
Nakadhalika na kadhalika...
Hii ni sawa sawa na uchaga na usalitiInawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Mimi wananitumia pesa kwenye namba yangu wakiamini ni ya ndugu yao nazikula tu kibubu kinajaaInawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda ,ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria flani kuonyesha kuwa ni mshamba nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki, angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Matonge hayo lazima yawe na tela zake za ukubwa sawaWana kata matonge makubwa...ππ